Maafisa wa Marekani wasema wana ushahidi Rwanda kuhusika mgogoro Burundi

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,563
21,665
Maafisa wa Wizara ya mambo ya nje ya Marekani wamesema wameona ushahidi kuwa serikali ya Rwanda imekua ikijihusisha matukio ya machafuko katika nchi jirani ya Burundi.

Inaelezwa kuwa Rwanda imekuwa ikiwapa silaha na mafunzo wakimbizi waliokimbia machafuko nchini Burundi.

Burundi imetumbukia mgogoro wa wenyewe kwa wenyewe tangu Rais Pierre Nkurunziza alipoamua kugombea uraisi kwa muhula wa tatu.

Maafisa hao wa Marekani wanasema taarifa walizonazo kutoka kwa maafis wenzano waliopo kwenye kambi za wakimbizi nchini Rwanda, zinasema Rwanda imekuwa ikihusika na vurugu katika nchi jirani Burundi.

Akihojiwa na Congress mmoja wa wanadiplomasia amesema taarifa za kuaminika kwamba wakimbizi wa Burundi ikiwa ni pamoja na watoto wamekuwa wakipewa mafunzo katika makambi nchini Rwanda, na kupambana kwa silaha na serikali.

Ghasia zilizuka nchini Burundi mwaka jana baada ya rais wa nchi hiyo kusema atagombea kwa muhula wa tatu.

Serikali za nchi hizi mbili zina makabila ambayo ni mahasimu , na kuna ongezeko la wasiwasi wa kimataifa kuwa mgogoro mwingine wa kikabila inaweza kuota mizizi katika eneo hilo.

Tayari Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda amekanusha tuhuma hizo ambapo amesema Umoja wa Mataifa unapaswa kutafuta mikakati ya kutatua mgogoro ya kisiasa badala ya kutafuta nani wa kumtupia lawama.

================
The US has raised concerns with Rwandan officials over reports suggesting it is involved in "destabilising activities" in neighbouring Burundi, officials have said.
Rwanda is reported to have armed and trained refugees to fight on behalf of the Burundian opposition.
The Rwandan government has denied the allegations.
Burundi has been hit by civil conflict since President Pierre Nkurunziza decided to stand for a third term.

In a hearing in the US Senate Foreign Relations Committee, two top diplomats cited reports from colleagues in the field that they said pointed to Rwandan involvement in the Burundi crisis.

Thomas Perriello, US envoy for the Great Lakes region of Africa, said the reports suggested that Burundian refugees, including children, were being recruited from camps in Rwanda to participate in armed attacks against the Burundian government.

Turmoil erupted in Burundi after Mr Nkurunziza announced plans last April to run for a third term, which he went on to win.
More than 400 people have died in the violence and at least 240,000 have fled the country.

Linda Thomas-Greenfield, US assistant secretary of African affairs, said that US officials had encouraged Rwandan authorities "to play a productive role and not to do anything that might further destabilise Burundi".

The governments of Rwanda and Burundi are from rival ethnic groups and there is growing international concern that another ethnic conflict could take root in the region.

Last week, a UN panel reported that Burundian refugees had been recruited at a refugee camp in eastern Rwanda in May and June 2015, and given two months of military training.

Burundi's deepening crisis:
■ April 2015: Protests erupt after President Pierre Nkurunziza announces he will seek a third term in office.

■ May 2015: Constitutional court rules in favour of Mr Nkurunziza, amid reports of judges being intimidated. Tens of thousands flee violence amid protests.

■ May 2015: Army officers launch a coup attempt, which fails.

■ July 2015: Elections are held, with Mr Nkurunziza re-elected. The polls are disputed, with opposition leader Agathon Rwasa describing them as "a joke"

■ November 2015: Burundi government gives those opposing President Nkurunziza's third term five days to surrender their weapons ahead of a promised crackdown.

■ November 2015: UN warns it is less equipped to deal with violence in Burundi than it was for the Rwandan genocide.

■ December 2015: 87 people killed on one day as soldiers respond to an attack on military sites in Bujumbura.

■ January 2016: Amnesty International publishes satellite images it says are believed to be mass graves close to where December's killings took place

Source: BBC
 
Pamoja na kupendwa na wananchi wake Kagame ni mfitini mkubwa!! Tuwe waangalifu sana katika kushirikiana naye!!
 
Pamoja na kupendwa na wananchi wake Kagame ni mfitini mkubwa!! Tuwe waangalifu sana katika kushirikiana naye!!
Mkuu sio kwamba wananchi wake wanampenda, jamaa ni dikteta wa hatari. Hao kina mchambawima, murutongore, mng'ato na wengineo wengi ndio wanaotumwa mitaani kusikiliza wananchi wanamsema vipi paka. Wakikusikia unamsema vibaya, siku hiyo hulali duniani. Wanakuulia mbali. Kwahivyo wananchi wanaishi katika mateso makubwa chini ya paka.
 
Nkurunzinza mara nyingi anailalamikia Rwanda kuwa iko nyuma ya machafuko ya Burundi kwa kuwaunga mkono Waasi.

Anachofanya Kagame ni kutaka Mtutsi mwenzake awe Rais Burundi, hizi ni tabia za kipumbavu.
 
Maeneo kama haya huwa haonekani. Anaingia jf kwa kuvuzia kama paka.

Mkuu, ukiona kapotea ghafla you know anahaha kutafuta vi-article articles kwenye mitandao in a vain effort za kujaribu ku counter shutuma ambazo zimekuwa raised against his Super Hero - atakuja na adithi ndefu kuliko mto wa Kagera, atazuga members kwamba habari hizo hazina ukweli wowote ataongezea na matusi juu, si unajua tena ni mbishi by DEFAULT.

Sina shaka atasingizia kwamba Merikani suddenly imeanza kuichukia Rwanda ikishirikiana na Bukyanagandi, Malcom Lumumba, Masunga Jr, Vyuma - asikiapo/soma jina la JMali huyo ndio kabisaaa!!!
 
Wenye akili hawana muda na interahamwe wanasubiri wakati unaofaa kuwatandika once and for all na ushahidi gani mnataka zaidi ya video alizowawekea mchambawima hao mnaowatetea wanachinja watu live..glad sipo upande wa kutetea hawa viumbe vya ajabu
 
Wakati wanaenda kumtoa Muamar Ghadafi walianza na chokochoko kama hizi.

Huyo PK awe makini sana.
 
Maafisa wa Wizara ya mambo ya nje ya Marekani wamesema wameona ushahidi kuwa serikali ya Rwanda imekua ikijihusisha matukio ya machafuko katika nchi jirani ya Burundi.

Inaelezwa kuwa Rwanda imekuwa ikiwapa silaha na mafunzo wakimbizi waliokimbia machafuko nchini Burundi.

Burundi imetumbukia mgogoro wa wenyewe kwa wenyewe tangu Rais Pierre Nkurunziza alipoamua kugombea uraisi kwa muhula wa tatu.

Maafisa hao wa Marekani wanasema taarifa walizonazo kutoka kwa maafis wenzano waliopo kwenye kambi za wakimbizi nchini Rwanda, zinasema Rwanda imekuwa ikihusika na vurugu katika nchi jirani Burundi.

Akihojiwa na Congress mmoja wa wanadiplomasia amesema taarifa za kuaminika kwamba wakimbizi wa Burundi ikiwa ni pamoja na watoto wamekuwa wakipewa mafunzo katika makambi nchini Rwanda, na kupambana kwa silaha na serikali.

Ghasia zilizuka nchini Burundi mwaka jana baada ya rais wa nchi hiyo kusema atagombea kwa muhula wa tatu.

Serikali za nchi hizi mbili zina makabila ambayo ni mahasimu , na kuna ongezeko la wasiwasi wa kimataifa kuwa mgogoro mwingine wa kikabila inaweza kuota mizizi katika eneo hilo.

Tayari Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda amekanusha tuhuma hizo ambapo amesema Umoja wa Mataifa unapaswa kutafuta mikakati ya kutatua mgogoro ya kisiasa badala ya kutafuta nani wa kumtupia lawama.

================

Na Sisi Wanyarwanda Tuna Ushahidi Usio Na Mashaka Kuwa Vita Zote Za Kirasilimali Zilizopo Katika Nchi Nyingi Za Afrika, Huko Kwa Nchi Za Kiarabu Na Far East Huku Yakifanyika Mauaji Mengi Ya KIMAFIA Na KIJASUSI Marekani Inahusika Kwa 100%. Congo Ya Leo ( Namaanisha DRC ) Isingekuwa Hivi Leo Kama Siyo Marekani Na Shirika Lake La Kijasusi La CIA Kwa Kushirikiana Na Kiongozi MPUMBAVU Na Aliyekuwa Rais Wa Zaire Wakati Huo Joseph Kasavubu Na Aliyekuwa Kiongozi JESHINI Wakati Huo Dikteta Mobutu Seseseko Kuku Wa Zabanga Ambapo Kwa Pamoja Walimuua Mwana Mapinduzi Wa Afrika Na Mpambanaji Patrice Emelly Lumumba Na Kuisababishia DRC Matatizo Hadi Hivi Leo. Na Hakuna Asiyejua Kuwa Uwizi Mkubwa Wa Usafirishwaji RASILIMALI Za DRC Kwa Sasa Zinafanywa Na Marekani Kwa Kushirikiana Na Rais Joseph Kabila a.k.a Kabange. Haya Ni Machache Tu Ila Marekani Leo Kuisema Rwanda Ni Sawa Sawa Na JAMBAZI SUGU Kumpiga Mkwara KIBAKA!
 
Nadhani unasema ukweli juu ya involvement ya USA katika crisis za mataifa mengine, onyo, "two wrongs never make it right", ni vyema Rwanda ya Paka ikaacha kusimika hima empire kwa msjirani at the expense ya kumwaga damu ya innocent citizens.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom