Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,020
- 144,377
Kumbe yeye ni malaikaa! Malaika roho joto wakati mashetani wakishangiliaNajua utafurahiii na kushangilia mshahara ukiwa ule ule wa zamani. Hongera zako
Umeniuuuuuua.watumishi wa umma kudai ongezeko la mashahara sio UZALENDO kabisa,nchi ipo kwenye vita ya kiuchumi,inatumia hela zake binafsi kujenga reli ya umeme,mradi wa umeme mto rufiji na kununua ndege 6 kwa keshi nyie mnadai nyongeza? kwa nini msiige mfano wa Rc Bashite wa kufanya KAZI KIZALENDO?
Salary, it is very possible mabadiliko yakawepo. To me, this should not be our concern now, the biggest question should be HOW MUCH! Mzee Mkapa aliwahi kuongeza elfu 9,000 wa kima cha chini!. Niliwekewa 20,000! Tena kwa mbinde baada ya makelele ya TUCTA nakumbuka! Nadhani hili ndilo liwe swali la msingi!Serikali kupitia viongozi wake wakuu wameahidi mabadiliko ya mishahara kwa watumishi mbalimbali wa serikali mwezi huu na hivyo kutoa matumaini kwa watumishi wa umma ya kuweza kulipwa nyongeza ya mishahara pamoja na malimbikizo mengine wanayoidai serikali.
Sasa wahasibu na maafisa utumishi mnaohusika na kuandaa mishahara ya watumishi ya kila mwezi, mpaka sasa mmeona dalili yoyote ya kufanyika kwa malipo hayo kutoka serikalini?
Uzuri siku hazigandi jamani.
Tunaomba majibu.
Ikiwa.............................Nitaogelea kwenye mto wenye mamba
Na Risasi!watumishi wa umma kudai ongezeko la mashahara sio UZALENDO kabisa,nchi ipo kwenye vita ya kiuchumi,inatumia hela zake binafsi kujenga reli ya umeme,mradi wa umeme mto rufiji na kununua ndege 6 kwa keshi nyie mnadai nyongeza? kwa nini msiige mfano wa Rc Bashite wa kufanya KAZI KIZALENDO?
Waooooo..!Serikali kupitia viongozi wake wakuu wameahidi mabadiliko ya mishahara kwa watumishi mbalimbali wa serikali mwezi huu na hivyo kutoa matumaini kwa watumishi wa umma ya kuweza kulipwa nyongeza ya mishahara pamoja na malimbikizo mengine wanayoidai serikali.
Sasa wahasibu na maafisa utumishi mnaohusika na kuandaa mishahara ya watumishi ya kila mwezi, mpaka sasa mmeona dalili yoyote ya kufanyika kwa malipo hayo kutoka serikalini?
Uzuri siku hazigandi jamani.
Tunaomba majibu.
Sa kabisa ishu si dalary bali kiasi gsni.unaweza kupewa 5000Salary, it is very possible mabadiliko yakawepo. To me, this should not be our concern now, the biggest question should be HOW MUCH! Mzee Mkapa aliwahi kuongeza elfu 9,000 wa kima cha chini!. Niliwekewa 20,000! Tena kwa mbinde baada ya makelele ya TUCTA nakumbuka! Nadhani hili ndilo liwe swali la msingi!
Nashukuru umenielewa!Sa kabisa ishu si dalary bali kiasi gsni.unaweza kupewa 5000