Maafisa utumishi na wahasibu,zikiwa zimebaki takribani siku 10 mishahara itoke,kuna dalili yoyote ya mabadiliko?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Serikali kupitia viongozi wake wakuu wameahidi mabadiliko ya mishahara kwa watumishi mbalimbali wa serikali mwezi huu na hivyo kutoa matumaini kwa watumishi wa umma ya kuweza kulipwa nyongeza ya mishahara pamoja na malimbikizo mengine wanayoidai serikali.

Sasa wahasibu na maafisa utumishi mnaohusika na kuandaa mishahara ya watumishi ya kila mwezi, mpaka sasa mmeona dalili yoyote ya kufanyika kwa malipo hayo kutoka serikalini?

Uzuri siku hazigandi jamani.

Tunaomba majibu.

NB:Serikali kulipa madeni ya ndani yakiwemo madeni ya watumishi,wakandarasi,n.k kunasaidia kuongeza mzunguko wa hela na hivyo kukuza biashara na kuongeza kodi ya serikali.
 
watumishi wa umma kudai ongezeko la mashahara sio UZALENDO kabisa,nchi ipo kwenye vita ya kiuchumi,inatumia hela zake binafsi kujenga reli ya umeme,mradi wa umeme mto rufiji na kununua ndege 6 kwa keshi nyie mnadai nyongeza? kwa nini msiige mfano wa Rc Bashite wa kufanya KAZI KIZALENDO?
 
Umeniuuuuuua.
 
Serikali kupitia viongozi wake wakuu wameahidi mabadiliko ya mishahara kwa watumishi mbalimbali wa serikali mwezi huu na hivyo kutoa matumaini kwa watumishi wa umma ya kuweza kulipwa nyongeza ya mishahara pamoja na malimbikizo mengine wanayoidai serikali.

Sasa wahasibu na maafisa utumishi mnaohusika na kuandaa mishahara ya watumishi ya kila mwezi, mpaka sasa mmeona dalili yoyote ya kufanyika kwa malipo hayo kutoka serikalini?

Uzuri siku hazigandi jamani.

Tunaomba majibu.
Salary, it is very possible mabadiliko yakawepo. To me, this should not be our concern now, the biggest question should be HOW MUCH! Mzee Mkapa aliwahi kuongeza elfu 9,000 wa kima cha chini!. Niliwekewa 20,000! Tena kwa mbinde baada ya makelele ya TUCTA nakumbuka! Nadhani hili ndilo liwe swali la msingi!
 
Du kuna makato yanaingizwa huko kwa wale ambao Bodi ilikuwa ni kama hainauhakika nao...huko hata kama mtumishi anamkopo na amebakiwa na kiasi sheria inataka ni kumfyeka tu...that means kama hakutakuwa na ongezeko basi ni kilio zaidi kwa watumishi
 
watumishi wa umma kudai ongezeko la mashahara sio UZALENDO kabisa,nchi ipo kwenye vita ya kiuchumi,inatumia hela zake binafsi kujenga reli ya umeme,mradi wa umeme mto rufiji na kununua ndege 6 kwa keshi nyie mnadai nyongeza? kwa nini msiige mfano wa Rc Bashite wa kufanya KAZI KIZALENDO?
Na Risasi!
 
Serikali kupitia viongozi wake wakuu wameahidi mabadiliko ya mishahara kwa watumishi mbalimbali wa serikali mwezi huu na hivyo kutoa matumaini kwa watumishi wa umma ya kuweza kulipwa nyongeza ya mishahara pamoja na malimbikizo mengine wanayoidai serikali.

Sasa wahasibu na maafisa utumishi mnaohusika na kuandaa mishahara ya watumishi ya kila mwezi, mpaka sasa mmeona dalili yoyote ya kufanyika kwa malipo hayo kutoka serikalini?

Uzuri siku hazigandi jamani.

Tunaomba majibu.
Waooooo..!

Kaongeza Buku unusu
 
Salary, it is very possible mabadiliko yakawepo. To me, this should not be our concern now, the biggest question should be HOW MUCH! Mzee Mkapa aliwahi kuongeza elfu 9,000 wa kima cha chini!. Niliwekewa 20,000! Tena kwa mbinde baada ya makelele ya TUCTA nakumbuka! Nadhani hili ndilo liwe swali la msingi!
Sa kabisa ishu si dalary bali kiasi gsni.unaweza kupewa 5000
 
Kufanya kazi serikalini awamu hii ni sawa na kufanya kazi kwa muhindi.
Nyongeza ya misahara mpaka apende mwenyewe.
Hujui kama kesho ukiamka utaendelea na ajira yako.
Kama mshahara haukutoshi unaambiwa uache kazi ukalime.
Kwenda seminar au kuongeza elimu hakuna tena.
Double standards ndo mpango, refer Bashite.
Poleni sana ndugu wafanyakazi wa serikali yetu pendwa ya awamu ya tano, hapa kazi tu!
Karibuni Mystical 7 tule bia, baada ya hapo ni the Dons, membership card 40 elfu tu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom