Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,987
- 144,319
Serikali kupitia viongozi wake wakuu wameahidi mabadiliko ya mishahara kwa watumishi mbalimbali wa serikali mwezi huu na hivyo kutoa matumaini kwa watumishi wa umma ya kuweza kulipwa nyongeza ya mishahara pamoja na malimbikizo mengine wanayoidai serikali.
Sasa wahasibu na maafisa utumishi mnaohusika na kuandaa mishahara ya watumishi ya kila mwezi, mpaka sasa mmeona dalili yoyote ya kufanyika kwa malipo hayo kutoka serikalini?
Uzuri siku hazigandi jamani.
Tunaomba majibu.
NB:Serikali kulipa madeni ya ndani yakiwemo madeni ya watumishi,wakandarasi,n.k kunasaidia kuongeza mzunguko wa hela na hivyo kukuza biashara na kuongeza kodi ya serikali.