Maafisa Utumishi na roho ya korosho!

Maafisa Utumishi na roho ya korosho!

Richard mtao

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2018
Posts
270
Reaction score
377
Hellow jamii, ni matumaini yangu mko poa na wazima wa afya njema sana. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwajili ya hilo.

Guys, katika pita pita zangu vyuoni na taasisi mbalimbali nimekuwa nikiiskia hii kauli " MAAFISA UTUMISHI WANA ROHO MBAYA SANA" na hawaishii hapo wanaenda mbali kwa kutoa shuhuda zao mbalimbali ambavyo maHR wamewafanyia na kuwaachia maumivu makubwa katika maisha yao ya kazi.

Sasa leo naomba wana jamvi wenye experience au mtazamo tofauti kuhusu hii kauli mje tujadili hili jambo, maana kama kweli hawa ma HR wangekua na roho hizo je kwanini hawachukuliwi hatua na waajiri wao??
Mimi binafsi nahisi kuna kitu hakipo sawa katika malalamiko ya wafanyakazi wengi dhidi ya maafisa Utumishi.
 
Naunga mkono hoja.

Hao jamaa walinitoa kwenye usahili kisa cheti cha kuzaliwa kimekuwa scanned na nilikuwa sijui kama ni scanned, Original ilikuwa Dar na mm Niko Zanzibar isingewezekana kukipata ndani ya muda wa interview ikabidi niwaombe waniruhusu nifanye written kama nikipita Nitakuwa nimeshaipata ila wakagoma wakati huo huo Kuna wazanzibar hawakuwa na leseni za kufanyia kazi bara na masharti ya kazi yanataka uwe na leseni ya bara ila waliruhusiwa kufanya interview eti wakifaulu wahakikishe wanaipata hiyo leseni ya bara kabla ya oral interview.

Double standard.
 
Unakuta wengine kiasili hawana roho mbaya ila wanapoingia ofisini wanakutana na ma boss makatili majambazi so inabidi wasiwe na vihere here kujitia mzalendo mwisho utemwe kwenye ma deal ya kijambazi ya hela
Hapa nadhani kuna kazi kubwa waajiri na serikali wanatakiwa kuifanya. Maana kwa uelewa wangu mdogo Hr anapaswa kuwa kimbilio la watumishi
 
Naunga mkono hoja.

Hao jamaa walinitoa kwenye usahili kisa cheti cha kuzaliwa kimekuwa scanned na nilikuwa sijui kama ni scanned, Original ilikuwa Dar na mm Niko Zanzibar isingewezekana kukipata ndani ya muda wa interview ikabidi niwaombe waniruhusu nifanye written kama nikipita Nitakuwa nimeshaipata ila wakagoma wakati huo huo Kuna wazanzibar hawakuwa na leseni za kufanyia kazi bara na masharti ya kazi yanataka uwe na leseni ya bara ila waliruhusiwa kufanya interview eti wakifaulu wahakikishe wanaipata hiyo leseni ya bara kabla ya oral interview.

Double standard.
Hapa kuna vitu nimenote.
1.upendeleo
2. Yawezekana sheria na taratibu aidha hawazijui au wanavunja kwa maksudi.

3. Wewe pia kuna ka uzembe ulikuwa nako,maana najua interview wanatangazaga kuna mda wa kutosha kuandaa documents zote mkubwa
 
Mpaka naingia kwenye interview mm nilikuwa najua hawatanizuia issue ikawa kwenye muhuri wa moto lakin pia nilishapeleka hiyo hiyo scanned Kwa mwanasheria akanipitishia hakuwa ku doubt ndio nikaona na utumishi hawatanizingua
 
Hapa kuna vitu nimenote.
1.upendeleo
2. Yawezekana sheria na taratibu aidha hawazijui au wanavunja kwa maksudi.

3. Wewe pia kuna ka uzembe ulikuwa nako,maana najua interview wanatangazaga kuna mda wa kutosha kuandaa documents zote mkubwa
Mpaka naingia kwenye interview mm nilikuwa najua hawatanizuia issue ikawa kwenye muhuri wa moto lakin pia nilishapeleka hiyo hiyo scanned Kwa mwanasheria akanipitishia sikuwa ku doubt ndio nikaona na utumishi hawatanizingua
 
Okay, mimi nadhani next time jitahdi kubeba oG. Maana Hawa jamaa wanatafutaga penye dosari ili watusurubu vzr
 
Naunga mkono hoja.

Hao jamaa walinitoa kwenye usahili kisa cheti cha kuzaliwa kimekuwa scanned na nilikuwa sijui kama ni scanned, Original ilikuwa Dar na mm Niko Zanzibar isingewezekana kukipata ndani ya muda wa interview ikabidi niwaombe waniruhusu nifanye written kama nikipita Nitakuwa nimeshaipata ila wakagoma wakati huo huo Kuna wazanzibar hawakuwa na leseni za kufanyia kazi bara na masharti ya kazi yanataka uwe na leseni ya bara ila waliruhusiwa kufanya interview eti wakifaulu wahakikishe wanaipata hiyo leseni ya bara kabla ya oral interview.

Double standard.
Siku nyingine jitahidi kufika kwenye usahili wa mchujo ukiwa umekamilisha kila kitu kama vilivyoagizwa kwenye tangazo la Kazi na hiyo ndio maana ya usahili wa mchujo yaani Sio kufaulu mtihan pekee wanaangalia Hata Utu tuvitu tudogo tudogo tunaweza tukakucost
 
Point kubwa sana hii
 
Back
Top Bottom