Fundifundisho
Member
- Jan 11, 2011
- 77
- 18
naku PM nikupe mpya uipost mana nikipost mie ntakua shakan maana bado nasoma pale,nimehusishwa na hyo kashfa af nikawapga chenga cjatokea hata jana,ni ujinga wa hali ya juu.wapiga picha wazuiliwa eneo la tukio
.baadhi ya wahitimu wa kike wakike wavalia vivazi vya ajabu.
wageni wakosa mahali pa kukaa wengi wasimama juani..
.madereva wapandisha bei za usafiri kutoka chuoni kwenda mjini..
hizo ni baadhi ya kero zilizotawala eneo hilo..
hujaeleweka.wapiga picha wazuiliwa eneo la tukio
.baadhi ya wahitimu wa kike wakike wavalia vivazi vya ajabu.
wageni wakosa mahali pa kukaa wengi wasimama juani..
.madereva wapandisha bei za usafiri kutoka chuoni kwenda mjini..
hizo ni baadhi ya kero z
ilizotawala eneo hilo..
Head line na habari yenyewe haviendani kabisa mbona hivi? Hebu jipange uje upya huko khaa
Wahitimu hawakupewa majoho? Hivyo vivazi vya ajabu vilivaliwa wapi, juu ya joho?.baadhi ya wahitimu wa kike wakike wavalia vivazi vya ajabu.....
.wapiga picha wazuiliwa eneo la tukio
.baadhi ya wahitimu wa kike wakike wavalia vivazi vya ajabu.
wageni wakosa mahali pa kukaa wengi wasimama juani..
.madereva wapandisha bei za usafiri kutoka chuoni kwenda mjini..
hizo ni baadhi ya kero zilizotawala eneo hilo..
.wapiga picha wazuiliwa eneo la tukio
.baadhi ya wahitimu wa kike wakike wavalia vivazi vya ajabu.
wageni wakosa mahali pa kukaa wengi wasimama juani..
.madereva wapandisha bei za usafiri kutoka chuoni kwenda mjini..
hizo ni baadhi ya kero zilizotawala eneo hilo..
Is it your first time to attend a graduation ceremony? Vyuo vyote vikubwa hali ndiyo hiyo!.wapiga picha wazuiliwa eneo la tukio
.baadhi ya wahitimu wa kike wakike wavalia vivazi vya ajabu.
wageni wakosa mahali pa kukaa wengi wasimama juani..
.madereva wapandisha bei za usafiri kutoka chuoni kwenda mjini..
hizo ni baadhi ya kero zilizotawala eneo hilo..
hivi akili yako inaendana na hilo jina lako?au ndo upimbi wenyeweWew mtoa mada boya tu kwanz nhic akili yako tope