Majuzi tu tumeshuhudia mamia ya watu kupoteza maisha yao kule Zanzibar na Kenya. Mungu awarehemu waliofariki na awafariji sana wafiwa. Poleni sana
Wiki chache zilizopita tulishuhudia dhoruba kubwa iliyosababishwa na Hurricane Irene kule USA. Kana kwamba haitoshi, kulikuwa na tetemeko la ardhi lililosababisha hasara ktk sehemu mbalimbali za East coast kuanzia Virginia hadi Maine. Vile vile kumekuwa na mafuriko yanayoendelea hadi sasa ambayo yameleta uharibifu mkubwa hasa kule Vermont.
Swali: Kuna watu waliokuja hapa jamvini na kudai kwa nguvu zote kuwa hizo dhoruba na maafa yaliotokea USA ni sababu ya laana ya kumvamia na kumwondoa Colonel Ghadaffi. Sasa haya maafa ya kule Zanzibar na Kenya ni laana ya nini? Kuna wanaosema eti ni laana ya kuwachomea moto wafanyabiashara wenye bar na vilabu vya pombe kule Zanzibar.
Nawasilisha
majanga na vifo vya mamia wa raia si laana bali ni kutokana na uzembe,kufanya kazi kwa mazoea na maafa mengine yanatokana na natural movements of earth ambazo no man can do to make control of it.colnel gadaf has nothng to do wit these deadly events.kwa kiwango kikubwa sisi binadamu tunachangia vifo vya binadamu wenzetu.HIVYO NAPINGA KABISA,naomba kuwasilisha!
<br />Lakini waliosema hurricane irene ni adhabu ya Obama kuivamia Libya hukusema kuwa ni upupu
<br />Hakuna laana wala nini,huo ni Uzembe.