Maafa Yaliotokea Zanzibar: Je ni Laana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maafa Yaliotokea Zanzibar: Je ni Laana?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUVUZELA, Sep 14, 2011.

 1. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Majuzi tu tumeshuhudia mamia ya watu kupoteza maisha yao kule Zanzibar na Kenya. Mungu awarehemu waliofariki na awafariji sana wafiwa. Poleni sana
  Wiki chache zilizopita tulishuhudia dhoruba kubwa iliyosababishwa na Hurricane Irene kule USA. Kana kwamba haitoshi, kulikuwa na tetemeko la ardhi lililosababisha hasara ktk sehemu mbalimbali za East coast kuanzia Virginia hadi Maine. Vile vile kumekuwa na mafuriko yanayoendelea hadi sasa ambayo yameleta uharibifu mkubwa hasa kule Vermont.
  Swali: Kuna watu waliokuja hapa jamvini na kudai kwa nguvu zote kuwa hizo dhoruba na maafa yaliotokea USA ni sababu ya laana ya kumvamia na kumwondoa Colonel Ghadaffi. Sasa haya maafa ya kule Zanzibar na Kenya ni laana ya nini? Kuna wanaosema eti ni laana ya kuwachomea moto wafanyabiashara wenye bar na vilabu vya pombe kule Zanzibar.
  Nawasilisha
   
 2. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  That's a valid question, but I reserve my comments as for now
   
 3. BABU CHONDO

  BABU CHONDO JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  We kweli ndo vuvuzela
   
 4. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  upupu mtupu
   
 5. eddo

  eddo JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2011
  Joined: Mar 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  majanga na vifo vya mamia wa raia si laana bali ni kutokana na uzembe,kufanya kazi kwa mazoea na maafa mengine yanatokana na natural movements of earth ambazo no man can do to make control of it.colnel gadaf has nothng to do wit these deadly events.kwa kiwango kikubwa sisi binadamu tunachangia vifo vya binadamu wenzetu.HIVYO NAPINGA KABISA,naomba kuwasilisha!
   
 6. rasmanyara

  rasmanyara Senior Member

  #6
  Sep 15, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hakuna laana wala nini,huo ni Uzembe.
   
 7. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sasa wale waliodai hurricane Irene imekuja baada ya USA kuivamia Libya walikuwa na akili ya wapi?
   
 8. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Lakini waliosema hurricane irene ni adhabu ya Obama kuivamia Libya hukusema kuwa ni upupu
   
 9. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Na huricane george ni laana ya nani? Na katrina je?: endelea kujifariji kuwa natural disasters ni laana.
  <br />
  <br />
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Uzembe kama huu wa zanzibar ni laana, tazama: meli haina usajiri wowote, meli haina bima, gati halina wasimamizi kutoka mamlaka za usalama wa abiria, abiria waliohofu usalama wao walizuiwa kutoka katika chombo, neednto say more?!!!, wazanzibari heshimuni utu wa binadamu, acheni kuchoma mali za bin adam wenzenu. Machozi ya mtu asiye na hatia hulipwa kwa machozi ya upande wa pili, ukimliza mwenzio kwa kibri hakika nawe utalizwa mara dufu.
  <br />
  <br />
   
 11. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Kaka / Mama /Dada,
  Nomba ufhamu ya kwamba tunaishi katika zile siku zilizotajwa kwenye Biblia za mwisho. Biblia inazungumza matukio ya siku za mwisho ikiwa ni pamoja na majanga tunayoyaona ya siku hizi kwa wingi sana.
  Mtasikia vita na matetesi ya vita mahali mahali. Haya ya kuchomewa Bar Zanzibar ni matukio ya kukosa upendo wa ndugu kwa ndugu maana walitakiwa kwenda kuwaambia kwamba biashara hiyo ni dhambi na waache kwa upendo mkubwa na kuwaombe badala ya kuwachomea Bar zao. Pia hilo la kuzama kwa meli iliyoua watu mamia, hilo ni uzembe wa sisi wanadamu wenyewe na mara nyingi tumekuwa tunamsingizia Mungu kwa tamaa zetu za kupata pesa kwa mara moja kwa wingi bila kufikiria USALAMA WA ROHO ZA WATU ndani ya chombo na matokeo yake tumeyaona.
  So kuna mchanganyiko wa matukio ya siku hizi za mwisho ambapo tunatakiwa kuwa waangalifu katika kuyatofautisha sisi wandamau.
  Yale ya vita mahali mahali ni ya kiunabii iliosemwa kwenye BIBLIA.
  Kwahiyo kuna laana ambazo sisi wenyewe tunazileta kwa sababu ya matendo yetu ya tamaa za kipesa na kuna mengine yanatimiza unabii wa Biblia.
   
Loading...