Watanganyika wayakusudie hayo. Kwani yameshatokea Kenya wakati wa uchaguzi ( yaani ukabila), Unguja na Pemba kwenye uchaguzi CCM na CUF ( yaani Uunguja na Upemba)
Sasa Tanganyika ianze kunyoa kwani UDINI umeanza kuitafuna. Ukianzia Kukataliwa kwa Waraka wa wakatoliki na hatua aliyoichukua Pengo kumsuta Kikwete hadharani mchana kweupeeeeee katika msiba wa Askofu wa jimbo la Mwanza.
Mungu inisuru tanganyika