Maafa Mnacho secondari, Ruangwa-Lindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maafa Mnacho secondari, Ruangwa-Lindi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by southern, Feb 11, 2012.

 1. s

  southern Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau, habari zenu hapa jamvini....

  mnamo tarehe 03 feb 2012, majira ya saa 10 jioni, shule ya sekondari mnacho iliyoko wilayani Ruangwa mkoani Lindi ilikumbwa na balaa la kimbuga lililoendana sambamba na mvua kubwa hivyo kusababisha kuezuliwa kwa mapaa ya madarasa, ofisi ya mkuu wa shule, ofisi ya waalimu na nyumba moja ya mwalimu.

  kutokana na balaa hili, wanafunzi wa shule hiyo wamekuwa wakisoma kwa shifti wakitumia madarasa matatu yaliyobaki...

  SAM_8764.JPG SAM_8926.JPG SAM_8998.JPG

  naomba kuwasilisha...
   
 2. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  poleni sana wana mnacho, naamini mamlaka husika (wizara, wilaya na mkoa) zitashughulikia swala hili mapema illi kurudisha utulivu na ratiba ya shule irejee kama kawaida.
   
 3. B

  Buto JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Poleni wakazi wa mnacho pande za kwetu
   
 4. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  Lindi huko si mbao bwerere mbona wapaulia fito?
   
 5. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe southern vp hao jirani zako wa NDANDA hawajambo?
   
 6. s

  southern Member

  #6
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndanda wazima, ila mnacho hali ndo kama hivyo.
   
 7. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Kamati ya maafa ya Wilaya na Mkoa inapaswa kuliona hilo! Je, ngazi ya wilaya na mkoa wanazo hizo taarifa za maafa?
   
Loading...