Maafa Kahama: Magazeti ya bongo utata mtupu

Maafa Kahama: Magazeti ya bongo utata mtupu

Faiza, to me "age ain't nothing but a number!", kama vipi, sema tuu, I don't mind!.

Kwa wale wadogo, tunaanza sisi, ila kwa wakubwa, wanaanza wao!, nakuona Faiza unaanza!,

Sema tuu, mimi ndio zangu!.

Pasco

Wewe mwenyewe mtoto wa watu, unafikiri hatukujuwi? chezea wengine usijaribu kabisa kucheza na mimi.
 
Ukiangalia taarifa hizo hazitofautiani sana. Unajua haya ni maafa, taarifa zake zabadirika kulingana na muda na kile wanachokiona katika field. Muda unavyosonga majeruhi wanaweza kufa; lakini pia watapata watu wengine (ni kama wanatafuta, maana si wanafanya uokozi) waliokumbwa na maafa pamoja na majeruhi. Sasa inategemea mwandishi alichukua taarifa za muda gani na kuamua kuziandikia habari. Maana kila chombo kina deadline yake ya kukusanya habari. Vyombo vikubwa vyenye nguvu kama Mwananchi utaona vinachapisha taarifa latest zaidi. Ndio maana hata idadi za vifo na majeruhi walizoandika ni kubwa.

Jamaa anataka a set figure kama a constant of nature katika a disaster situation.

Hilarious.

I am a critic, and value irrevelent criticism, lakini hizi nyingine ni kujishaua tu.
 
Naomba niweke sawa mkuu hivi magazeti ya mwananchi, nipashe na the guardian yana bosi tofauti? Namaanisha mmiliki + mhariri

Naamini Mwananchi (Pamoja na The Citizen) wana wamiliki na wahariri tofauti na haya magazeti ya Nipashe pamoja na the Guardian. Ndio maana habari za Nipashe na The Guardian (pia za Mwananchi na The Citizen) zinashabihiana kutokana na data ulizo post hapo juu.

"At least 42 killed and dozens injured" ---- the citizen

"Storm claims 38 lives & 82 others seriously injured"---the guardian

"Mvua yaua 38, yajeruhi 82"-----Nipashe

"Mvua ya mawe yaua watu 42 na kujeruhi wengine 91 kahama"----Mwananchi
 
Back
Top Bottom