Adui aliyeongezeka ni RUSHWA. Lakini mimi siamini kama UJINGA bado ni adui kwa jamii ya Watanzania wa leo; kuna watoto wadogo hivi leo kukwea pipa mpaka China na elimu yao ya Std VII ni kawaida bado utawaita hao ni wajinga?
Kwa maoni yangu maadui waliobaki ni
1) RUSHWA
2) UMASKINI (unaosababishwa na namba moja)
3) MARADHI (yanayosababishwa na namba 2)
Tukiangamiza RUSHWA tutakuwa na rasilimali za kutosha kukabili UMASKINI wa Watanzania na hivyo kuwajengea uwezo wa kuangamiza MARADHI
Wana JF
Kwa muda mrefu tumekuwa na maadui watatu yaani Ujinga, maradhi na umasikini na tumekuwa tukipambanao mimi kwa mtazamo wangu ni kuwa ameongezeka adui mwingine ambaye CCM nasema hivyo kwa sababu CCM haijui kwanini Tanzania ni masikini na kama hujui tatizo hilo la umaskini si rahisi kuwa na strategy ya kulitatua.
<br />Na adui aliyeongezeka miezi ya karibuni ni ulalamishi wa Chadema.
<br />
<br />
Libwata la Nape linafanya kazi.
Unachekesha kweli kweli wewe, nikuulize magufuli anamiliki ilani? Utanijibu lkn nikwambie hivi kwa mujibu wa katiba ya nchi serikali inayoundwa ni ya chama dola. hatuchagui mtu tunachagua chama na hii ni baada ya chama kutuelezea sera zake ndipo tunachagua. sasa kila chama kina mifumo yake, misingi yake,kina tabia yake,kina utaratibu wake,kina mazoea yake,kina misimamo yake Hivyo kwa tabia za ccm hatukitaki tena kimezalisha maadui wengine watatu zaidi Rushwa,Ufisadi na mizaha. kwa hiyo sasa tuna maadui 6
1Ujinga
2Umaskini
3Maradhi
4Rushwa
5Ufisadi
6Mizaha
Ili taifa lisonge mbele,liondoke hapa lilipo kwama ni lazima ccm kife kiingie makumbusho kama KANU, leo kenya na rwanda zipo dunia ya 2 sisi bado tupo dunia ya 3 ujinga kabisa!
Ni kweli kabisa kwamba ni mizaha ya hali ya juu kwa watanzani. Mtu mwenye maradhi na homa ya kiharusi kugombea uraisi. Hiyo ni mizaha iliyopitilioza