Maadili yameporomoka kiasi hiki

Maadili yameporomoka kiasi hiki

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
1621987_1383997028529832_1565021758_n.jpg
vijana bwana..... ungekutana na kijana huyu ungemshauri nini ktk hali ya kujenga sio kubomoa
 
Anapata shida, bora angevaa ya mdogo wake tu
 
Pengine ana tumbo la kuhara ndio maana yupo standby asijekuharibu mumo humo...
 
Sijui hua wanafikiri nini wanapovaa namna hii. Ushauri nasaha uhamie huku sasa
 
sasa hivi ni madili tu sio maadili tena
 
Back
Top Bottom