Maadili ya walimu.

Vmark.

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
1,353
270
Wana jf nimekuta wa2 wanajadili maadili kati ya mwalimu wa primary na wa secondary in terms that wa secondary hawana maadili! Lets discuss this jf pals!
 
Hivi nyie hamjibu tht means kua cio waalim au? Gdnte.
 
The thing is that nilikutana na discussion somewhere kua walim wa sec schools hawana maadili kwa students, jamii inayowazunguka et al in comparison with primary school teachers...,.what i knw ni kuwa prmry xul tchers wana nidham ya woga kwnye kudai haki bse they gotten no choice once they ar sacked! I stand to b corrected.
 
Mkuu Vmark, nimekwazika kwa namna ulivyoamua kubandika bila kufuata kanuni za uandishi hasa kwenye punctuation.

Naomba ufafanuzi wa "nidhamu ya woga" , hili neno nalisikia sana na sipati maelezo ya kutosha. Je, kutii maagizo ya superior wako ni "woga", "nidhamu" au "nidhamu ya woga"?

Kama alivyoandika Nyakageni pale juu, nidhamu ni dhana pana sana. Inahitaji udadavuzi wa ni katika maeneo gani tunatakiwa kujadili.
 
Wana jf nimekuta wa2 wanajadili maadili kati ya mwalimu wa primary na wa secondary in terms that wa secondary hawana maadili! Lets discuss this jf pals!
Stupid! Ume2mia spinal cord au skull kupost hii thread! Kama we ni mwalimu kweli you are lost, ndo maana matokeo ya wanafunzi yanazidi kuwa down and down. Mwl unatakiwa uwe mtu mwenye upeo so unapost kathread kanako hang hv. Huna maadili.
 
Was this really necessary?
 
Stupid! Ume2mia spinal cord au skull kupost hii thread! Kama we ni mwalimu kweli you are lost, ndo maana matokeo ya wanafunzi yanazidi kuwa down and down. Mwl unatakiwa uwe mtu mwenye upeo so unapost kathread kanako hang hv. Huna maadili.
let me give u a piece of advice u nincompoop.....brush ua teeth and wash ua stinking body!!
 
Mkuu Vmark, nimekwazika kwa namna ulivyoamua kubandika bila kufuata kanuni za uandishi hasa kwenye punctuation.

Naomba ufafanuzi wa "nidhamu ya woga" , hili neno nalisikia sana na sipati maelezo ya kutosha. Je, kutii maagizo ya superior wako ni "woga", "nidhamu" au "nidhamu ya woga"?

Kama alivyoandika Nyakageni pale juu, nidhamu ni dhana pana sana. Inahitaji udadavuzi wa ni katika maeneo gani tunatakiwa kujadili.
mkuu kumtii superior ni sawa bt cio kila anachosema superior ni cha kutii! Superior wako akikuchapa viboko cdhan kama utamtii! Kumbuka wale waalim waliochapwa viboko na dc mnali.....back to the topic nidham ya woga ni pale unapomnyenyekea mtu kupitiliza hadi kushindwa kutetea haki zako., na kama ni kazini mtu anafanya hivyo bse hana choice nyingine kama akifukuzwa.OR in other ways unanyenyekea kupitiliza bse u are after something and hiyo ciyo tabia ya mtu mwnyewe.
 
ni kwamba usiseme walimu wa secondary na primary ni wapi hawana maadili wote hawana maadili kwani kwa sasa ualimu sio wito kama zamani bali ni shida ndio zinammpleka m2 awe mwalimu ndio maana sikuhizi uasikia mwallimu wametembea namwanafunzi na vile vile walimu wanalewa na wanafunzi wao sasa hapa maadilli yatoka wapi kaka
 
Back
Top Bottom