MAADILI NA UMASKINI

MAADILI NA UMASKINI

medyh99

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
211
Reaction score
235
Habari yako mwana Jf.
Naandika uzi huu nikiwa na lengo la kubadilishana mawazo kuhusu umaskini.
Swali langu ni kama ifuatavyo: NI IPI FAIDA YA MAADILI KATIKA KUTOKOMEZA UMASKINI KWENYE NCHI ZENYE UCHUMI WA CHINI??

Naomba tujuzane kama utakuwa na mfano ni vizuri zaidi. KARIBU
 
Ahsante kwa mada/swali hili, vipi wewe mtizamo wako ni upi?

Mimi naona maadili mema ni chanzo cha kufanya majukumu/deals kihalali, hakutakuwa na shortcuts wala mianya ya rushwa nk, kila mtu atapata haki/stahiki zake kihalali, hivo itapunguza umasikini.
 
Tasnia ya porn ihalalishwe vijana wetu wa alkasusu,pweza na vumbi wapewe leseni zao ili wapate ajira za kudumu tupate kodi
 
Bangi inapingwa ilihali inatumika kweupe mitaani, hoja yangu Bangi ihalalishwe tu.
Maana tunasimamia maadili yaliyoshindikana.
 
Kwa nchi zilizoendelea, Porn iliruhusiwa na makahaba wapewa leseni
-ziliibuka kampun za kushoot porn
-ziliibuka vipaj vya kucheza porn
-ziliibuka vyuo vya porn
-ziliibuka porn festivals
-ziliibuka biashara za sextoy
-watalii wa ngono walikua wengi

NB: watalii wa ngono Ni wengi kuliko watalii wa wanyama

Mfano mzur
Ni Maldives na malbera Ni visiwa vidogo TU visivyo na vivutio vya maana zaid ya beach na michanga ila wanatuzidi idadi ya watalii sisi wenye mapori na wanyama.

Watalii maelfu wanaminika kule kula starehe za pombe na ngono.

Kwasasa,
Kujitenga na pombe na ngono ukitegemea kukuza uchumi Ni kujilisha upepo.
 
Wewe jamaa mbona mjinga Sana ,kama unataka hizo kazi nenda huko marekani hakuna ambaye kakukataza ....[emoji848][emoji848]
 
Mimi navojua huwezi kuwa na maadali hapo hapo ukatokomeza umasikin .....

Kuwa na maadili maana yake ....

-Hutapokea rushwa wala kutoa rushwa

-Kufuata sheria na taratibu za serikali

-kutokukwepa kulipa Kodi

- kuacha wizi ,ujambazi na unyanganyi wa mali za watu

- kuacha wizi wa mali za umma

- kuwa mkweli na mwadilifu kwenye kila nyanja za kijamii

- kuhimizia haki sawa na kuilinda demokrasia

- kutenda haki sawa Kwa kila mtu ...

Kiufupi kuwa mwadilifu ni kujitafutia umasikin hasa ,,..... hakuna tajiri anayefuata hayo niliyoandika hapo juu ,wengi matajiri walioukimbia umasikin na kuwa tajiri wapo against hizo hoja hapo juu .....
 
NI IPI FAIDA YA MAADILI KATIKA KUTOKOMEZA UMASKINI KWENYE NCHI ZENYE UCHUMI WA CHINI??
katika marais.. kwa maono yangu Nyerere alikua na maadili, Magu alikua na maadili.. jazia na wengine
 
Mimi navojua huwezi kuwa na maadali hapo hapo ukatokomeza umasikin .....

Kuwa na maadili maana yake ....

-Hutapokea rushwa wala kutoa rushwa

-Kufuata sheria na taratibu za serikali

-kutokukwepa kulipa Kodi

- kuacha wizi ,ujambazi na unyanganyi wa mali za watu

- kuacha wizi wa mali za umma

- kuwa mkweli na mwadilifu kwenye kila nyanja za kijamii

- kuhimizia haki sawa na kuilinda demokrasia

- kutenda haki sawa Kwa kila mtu ...

Kiufupi kuwa mwadilifu ni kujitafutia umasikin hasa ,,..... hakuna tajiri anayefuata hayo niliyoandika hapo juu ,wengi matajiri walioukimbia umasikin na kuwa tajiri wapo against hizo hoja hapo juu .....
Nimekusoma mkuuu
 
Kwa nchi zilizoendelea, Porn iliruhusiwa na makahaba wapewa leseni
-ziliibuka kampun za kushoot porn
-ziliibuka vipaj vya kucheza porn
-ziliibuka vyuo vya porn
-ziliibuka porn festivals
-ziliibuka biashara za sextoy
-watalii wa ngono walikua wengi

NB: watalii wa ngono Ni wengi kuliko watalii wa wanyama

Mfano mzur
Ni Maldives na malbera Ni visiwa vidogo TU visivyo na vivutio vya maana zaid ya beach na michanga ila wanatuzidi idadi ya watalii sisi wenye mapori na wanyama.

Watalii maelfu wanaminika kule kula starehe za pombe na ngono.

Kwasasa,
Kujitenga na pombe na ngono ukitegemea kukuza uchumi Ni kujilisha upepo.
Mkùu watt watasoma kwel
 
Back
Top Bottom