Maadili na siasa vinapikika chungu kimoja ..Madiba

magistergtz

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
282
56
Tofauti na wanasiasa wengi, Madiba ameonesha maadili ya hali ya juu sana ktk siasa zake. Hili, pamoja na siasa zake za maelewano na upatanisho, ni masomo mawili makubwa kutoka kwa Babu Madiba. Wanasiasa wetu waache siasa za jino kwa jino, mkono kwa mkono. Ni mawazo tu wanajamvi.
 
Back
Top Bottom