Maadili CCM mashakani

Maadili CCM mashakani

Am waiting for Mr Humphrey Polepole......

One very smart comment!! Kudos!! CCM will hv no moral authority n legitimacy to say anything about Lowassa who they didnt even interrogate with Tume ya Maadili.

This is the status quo we all hv to change. Protectionism n impunity perpetrated by CCM.
 
Ninahitaji Polepole arudi redioni kutupa Hadithi ya pili baada ya ile ya kwanza kuisha...
 
CCM ilishapoteza dira na uelekeo...

Bahati mbaya mtu wao aliyewaeleza hivyo miaka mingi iliyopita waliishia kukatiza maisha yake...
 
Eeh mkuu twamsubiri hiyo dogo atasemaje maana alisema kuwa wakipitishwa mafisadi hataiunga mkonyo ccm. Tuone sasa!

Na akaongeza atapita Tanzania nzima akiwaambiwa WATANZANIA wasiichague CCM ,natamani kumuona tena...Tis time inabidi JF walete uzi utakaowekwa maswali ya kumuuliza,nina maswali kama mia hivi ya kumuuliza
 
Kama Lowasa alikatwa kwa upungufu wa maadili, then kama CCM wako sincere, Anna Tibaijuka na Chenge and the like wangelikatwa due to Escrow scandal. Haikufanyika hiyo, then why pick up on Lowasa!
Exactly man!CCM is party of double standards. They are picking on Lowassa because
he is such a huge threat to their existance, and they are doing all they can to bring him to
the books. Why did they stop him and his entourage to travel to Usangi? Why did they outlaw party rallies/entourages?
 
I thought ccm is cleansing itself by rejecting lowasa but I was wrong! They have passed the dirty and the corrupt escrow lot. Now I don't have to vote because lowasa and Magufuli will perpetuate the status quo. Nchi iko porini na hatujui njia ya kurudi nyumbani.
 
Jinsi nionavyo mimi, hali halisi ya ki usalama itakuwa ndogo hapo tunako fikia uchaguzi mkuu. Ingekuwa pana uwezekano, pande hizi mbili, Ukawa na CCM, wangekaa meza moja kabla ya uchaguzi wakakubaliana mapeema, waunde serikali ya mseto kwa makubaliano ya pamoja kuwa CCM itoe Rais wa nchi na Ukawa watoe makamu wa rais ili kiepusha furugu ambazo zina a shirikiana uvunjifu wa amani zinazo weza kujitokeza wakati wa uchaguzi na baada ya matokeo kupatikana, jambo ambalo pande zote zinaweza zisikubaliane na matoke, hali ambayo italeta vurugu kubwa mno na hata kuhatarisha usalama wa nchi.
Kuhusu swala la ubunge, hili wakubaliane uchaguzin ifanyike, na upande utakao kuwa na wabunge wingi waweze kutoa Waziri Mkuu. Madiwani vile vile uchaguzi ifanyike kama kawaida.
Hali hii ingeweza kiepusha majanga mengi na vile vile kupunguza muda na gharama za uchaguzi.
Haya ni maoni yangu.
Mwananchi mkereketwa SHIL
 
I thought ccm is cleansing itself by rejecting lowasa but I was wrong! They have passed the dirty and the corrupt escrow lot. Now I don't have to vote because lowasa and Magufuli will perpetuate the status quo. Nchi iko porini na hatujui njia ya kurudi nyumbani.

Atleast we are together on this.
 
Watuhumiwa wa Escrow wamerudishwa waende kuiba tena mpaka Chenge?mwaka huu ccm ndo bye bye msalimieni Komba
 
Exactly man!CCM is party of double standards. They are picking on Lowassa because
he is such a huge threat to their existance, and they are doing all they can to bring him to
the books. Why did they stop him and his entourage to travel to Usangi? Why did they outlaw party rallies/entourages?
There is great darkness in their path! But i doubt if this will make any difference unless they assassinate him! Otherwise,if a fair election ground prevails, he is the next president!
 
unaambiwa hivi , majina yalitoka lumumba , wala hayakutayarishwa dodoma .

Kamati ya maadili ya ccm na wale wanaosema habari za maadili ni kichaka chao ili wafanikishe mambo yao wenyewe. Ukiangalia waliopita kura za maoni wengi wametumia rushwa kushinda - hata pale walipokatiwa rufaa kupinga kamti hizi hizi ndizo zilizowabariki.

Hakuna cha maadili ni kuoneana gere tu na unafiki ndani ya chama cha mapinduzi
 
Am waiting for Mr Humphrey Polepole......

Huyu ni sawa na mshabiki wa simba na yangu. Tena watanzania tusikubali kusikiliza watu kama hawa kwani wapo kwajiri ya kutumiwa na wajanja. Kapata kipaji cha kuongea anafikiri anaweza kukitumia kuvuruga akili za watanzania. Nilipo mwona kwa mara ya kwanza niligundua upuuzi wake kwa dk 5. Kwanza hafai hata kuitwa kwenye media na kuongelea issue za siasa kwani anapandikiza chuki kwa baadhi ya watu.
 
Kweli kabisa hawa wafuatao hawana maadili
1. Anna Tibaijuka----escrow
2. Andrew Chenge ----escrow nk
3. Nape -----Rushwa uchaguzi jimbo la Mtama
4. Mwigulu-----Rushwa uchaguzi jimbo la Iramba.
Wote wamepitishwa kugombea sijui inakuwaje hapo.
 
Huyu ni sawa na mshabiki wa simba na yangu. Tena watanzania tusikubali kusikiliza watu kama hawa kwani wapo kwajiri ya kutumiwa na wajanja. Kapata kipaji cha kuongea anafikiri anaweza kukitumia kuvuruga akili za watanzania. Nilipo mwona kwa mara ya kwanza niligundua upuuzi wake kwa dk 5. Kwanza hafai hata kuitwa kwenye media na kuongelea issue za siasa kwani anapandikiza chuki kwa baadhi ya watu.

Tumpe nafasi ya kuliongelea hili maana tunataka kumsikia toka kwenye kinywa chake mwenyewe
 
Back
Top Bottom