Daah Mimi mwenyewe nikifikiria kuhusu Hawa ndugu ZETU roho inaniuma sana sema ndy ntafanyaje na ilhali sina cha kufanya.Shida ya kuwashughulikia Masikini badala ya kupambana na Umasikini ni kwamba kila mwaka unakuwa na maadhimisho ya kuondoa Machinga barabarani.
Safari hii kuna nini cha tofauti kitakachofanya wasirudi barabarani? Ulinzi mkali?
Tumbo lenye njaa linauma kuliko rungu la polisi.
kuna nini kilitokea zakhiem? huko nina maslahi nakoZakhiem next week tu wanaanza kujenga
Ile stendi ya gari za kigamboni wamepavunja kooote na rangi 3 marufuku kuweka makorokoro yao barabaranikuna nini kilitokea zakhiem? huko nina maslahi nako
Tumbo lenye njaa linauma kuliko rungu la polisi.🤔🥺🙇🏿♂Shida ya kuwashughulikia Masikini badala ya kupambana na Umasikini ni kwamba kila mwaka unakuwa na maadhimisho ya kuondoa Machinga barabarani.
Safari hii kuna nini cha tofauti kitakachofanya wasirudi barabarani? Ulinzi mkali?
Tumbo lenye njaa linauma kuliko rungu la polisi.
Umenikumbusha kishindo cha wakoma! Maana wakoma wale wanne wenye njaa kali walijisemea tukikaa hapa tutakufa; bali tukienda kwenye kambi ya jeshi la adui (washami) kuna possibilities mbili - watatuua au watatuacha hai tutapata lau makombo tupate kuishi.Tumbo lenye njaa linauma kuliko rungu la polisi.
Sehemu zenye umasikini ndizo zenye uhalifu mkubwa, mfano zilivyokuwa Manzese na Buguruni enzi hizo na Haiti.Umaskini hausiani na kuvunja Sheria na uchafu au kutofuata taratibu. Umeshapita buguruni usiku? Uchafu wa nyanya, matikiti, ndizi mbovu, maganda ya miwa, machungwa n.k yote yametapakaa kwenye Barbara ambayo hata kutumika bado! Tena imechakaa. Wengine Mnazi mmoja wanapanga kwenye mataa.
Acheni unafiki na siasa za hovyo.
Kwahiyo mazingira kuwa masafi ni kwajili ya AFCON tu na sio katika sehemu ya maisha yenu?Wavumilie kidogo AFCON ipite mana hatutaki wageni waje wakute miji yetu michafu na ina wamachinga wanaofanya biashara holela.
Umaskini hausiani na kuvunja Sheria na uchafu au kutofuata taratibu. Umeshapita buguruni usiku? Uchafu wa nyanya, matikiti, ndizi mbovu, maganda ya miwa, machungwa n.k yote yametapakaa kwenye Barbara ambayo hata kutumika bado! Tena imechakaa. Wengine Mnazi mmoja wanapanga kwenye mataa.
Acheni unafiki na siasa za hovyo.
Inashangaza sana halafu unaweza kuta huyo mmachinga ana mzigo mkubwa wa bidhaa kuliko mfanya biashara aliyepanga kwenye frame .Ujamaa ni mbaya sana,
Mama muuza wali wa 1500 amepanga chumba chake anapika na kuuza, ila machinga wanajenga mabanda makubwa njian sio ya kuhamishika ili wasilipe kodi.
Mbuguruni hapa!Umaskini hausiani na kuvunja Sheria na uchafu au kutofuata taratibu. Umeshapita buguruni usiku? Uchafu wa nyanya, matikiti, ndizi mbovu, maganda ya miwa, machungwa n.k yote yametapakaa kwenye Barbara ambayo hata kutumika bado! Tena imechakaa. Wengine Mnazi mmoja wanapanga kwenye mataa.
Acheni unafiki na siasa za hovyo.
Ukiondoa kuishi Buguruni, unatoka mkoa gani? Kwa maana Mzaramo hawezi kuwa fal*a au faruku kama wewe! By the way, I wish I could have had your mother before your useless, idiot father ever got the chance.Mbuguruni hapa!
I would like to say that:- f#ck you and some middle finger for yourself!