Anderson Shimb
Senior Member
- Dec 23, 2013
- 169
- 26
Leo hapa Mbeya shamra shamra zilikuwa kibao hadi kila mwananchi aliamini pasipo shaka kwamba CCM haina Mpinzani. Na wanaopinga ni wale ambao hawana hoja zenye mashiko mbali na kutukana, kukashfu, kulaumu, kukosoa kila kilicho chema kwa ubaya, utawasikia wakisema au kupost eti nyie buku7, mara maccm, mara Lumumba, ili.mradi tu wametukana na kufurahisha nafisi zao. Kuthibitisha haya ninayoyaeleza, fuatilia michango yao, utaona mwenyewe na mapungufu yao yatajidhihrisha moja kwa moja.