texaz mc
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 371
- 205
HABARI WANA JF!
Hivi hizi maabara ktk shule za kata zina maana gani? maana mi tangu nipo form one mpaka sasa niko form four hatujawahi kufanya practical yoyote. je, kwani practical huwa wanafundisha form four tu? na kama ni hvyo mbna practical kama FOOD TEST ni ya form two?. yaan hapa tulipo hatujui practical huwa zinatokaje yaan tupo tu!