Maaajbu Ya Simu Tecno Toleo 2026

Jamani makorokoro yote hayo.....
kwa mfano; tunajua power bank ni backup battery, kuna haja gani ucharge power bank ndio icharge simu?
 
While it sounds cool on paper but why would you need all that hassle?
Maana yake hiyo simu haina spika au sijaelewa? Vipi nikipoteza hiyo external speaker, hakuna kusikiliza mziki tena? Au spika ipo ila hiyo external speaker ni optional?
Badala ya kufanya simu iwe nyembamba ili tu upate chance ya kubandika powerbank na uweze kuitumia ikiwa na power bank attached, kwa nini wasingetengeneza tu simu yenye size ya kawaida na kuweka betri kubwa ndani yake? Naona ni bora kuliko kutumia powerbank kama external battery
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…