Ma sister du asilimia kubwa wachafu sana.

Hivi nyie wanaume m u wasafi? Ukiingia getho zenu hata vitanda tu hamtandiki?mkivua viatu uvundo utakao toka hapo ni balaa nanyie mjichunguze msiseme ya wenzunu yenu myanyamazie
 
Nilipita maeneo ya Temeke kutokea hospitali kuelekea kwa Azizi Ally, kwenye barabara ya vumbi mtaa mzima ulikwa unanuka huku maji macafu yakiwa na wale funza . vumbi nd mtindo mmoja, niliwaza sana na nilfika mahali nikafunga pua kwa handkerchief. Sasa kwa wanaoishi maeneo haya kwa kweli hali mleta maada aliyoipost ni lazima itokee kwa kuwa maji machafu yanaharibu atmosphere ya pale maeneo na wengine ndo hivyo maisha magumu hata razor hana uwezo wa kunununulia achilia mbali mkasi. Labda zipunuzwe kwa kuzichoma.
u said it..umenikumbusha kwa masangati..
 
Hivi nyie wanaume m u wasafi? Ukiingia getho zenu hata vitanda tu hamtandiki?mkivua viatu uvundo utakao toka hapo ni balaa nanyie mjichunguze msiseme ya wenzunu yenu myanyamazie

Wanaume wanakopo?
 
Mmmh..usistadu na ubrazameni gharama sana
 
Hivi nyie wanaume m u wasafi? Ukiingia getho zenu hata vitanda tu hamtandiki?mkivua viatu uvundo utakao toka hapo ni balaa nanyie mjichunguze msiseme ya wenzunu yenu myanyamazie

sio wote lakin
 
Kweli lakini mkuu sasa mtu makucha marefu kama jini hiyo Papuchi anaioshaje? Unaenda nae hotel inabidi uzime AC ufungue dirisha maana Bruto ya hatari!
 
Kwa hiyo wanavaa/wananunua nguo mpya 30 kwa mwezi? (Magauni). Kama ni sketi na blauz au suruali na top ina maana wananunua 60 kwa mwezi? Ukizidisha kwa mwaka???
 
Hivi masista duu wakoje wakoje? Mpk unamjua huyu sista duu huyu sio?
 
Back
Top Bottom