Ma-Single Maza

abia mbaya za mume wakashindana
5. Kufiwa na mume

Sasa basi tusiwahukumu Kila kitu kinasababu yake.
Pliiz inapozungumzwa kesi ya singo mama wasiingizwe wanawake waliofiwa na waume zao (lugha sahihi wajane)

You know,ugomvi na single mothers unatokana hasa na wao baada ya kudhaminiwa na mwanaume mwengine kujirudisha tena kule alikozalishwa na kuvua chupi mwisho kuleta dharau kwa mume mpya hapo tu ndiyo pana ugomvi mkubwa so mjane hawezi rudi alikotoka maana mume ameshakuwa tuta.
 
Acheni watu waishi watakavyo maana wengine wamechanjiwa kwenye damu kumwambia hapa ni kama kujipotezea muda tu yaani ipo hivi
1.Kuna mtu humwambii kitu kuhusu single maza
2.Kuna mtu humwambii kitu kuhusu mishangazi na mishangingi
3.Kuna wengine wanaforciwa
4.Kuna wengine wanafuata pesa
5.Wengine wanapenda makebo
6.Wengine ndizi nshale(wembamba)
7.Wengine hununua malaya njiani so kila mtu aishi atakavyo
 
Waacheni Madem zetu, wenyewe wanapendo ndo unyamwezi wanasema.
 
Singo maza ni chombo cha starehe, mkojolee ipite hivi, sio unataka kujifanya una muweka ndani malaya
 
Sasa unajidhalilisha ndugu, tunzeni muda, muache kazi zingine kwaajili ya kushindana utajiri dah
 
Kitu nimegundua kuna trend kubwa ya watu kuwasema singomaza maana watu wameona ina engagement sana.

Ila kiukweli naamini hata 80% of you guys hamjui chochote kuhusu singomaza na wala hamjawahi ku-date na singomaza.
Naam. Si kweli kwamba singo maza wote wanapatikana kwa kuchagua kutowajibika kwa machaguo yao ya mahusiano.
.....btw kwanini wanaume tuchukie kitu tulichokitengeneza?
 
19-23 mnawalaumu bure, kila mzazi atoe elimu ya kutosha kwa watoto wake..
Umri huo wanadanganyika kirahisi, ndio kwanza wameingia kwneye mapenzi kwa pupa..
Bado hila na fix zetu sisi wanaume, kuna muda ukikaa mwenyewe unajicheka kwa mbinu kabambe ambazo tumezitumia kung'oa watoto wakali.
 
Kitu nimegundua kuna trend kubwa ya watu kuwasema singomaza maana watu wameona ina engagement sana.

Ila kiukweli naamini hata 80% of you guys hamjui chochote kuhusu singomaza na wala hamjawahi ku-date na singomaza.
Waambie kamanda
Hawaoni watu wanao enjoy maisha wameo kina nani?

Angalia wema na yule Aziz. Tulisema haidumu ila wapi? Unajua ukifuata trend bila kuwa na empirical evidence ni Sawa na atheist aliyeshindwa kuprove kama Kweli Mungu hayupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…