Ma-Secretary acheni hizo.

Ma-Secretary acheni hizo.

Zorrander

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
438
Reaction score
233
Habari za asubuhi wana MMU,

Naomba tu leo tutafakari na kuwakumbusha hawa ma-secretary wa maofisini tabia za baadhi yao kudharau watu sio nzuri.

Kuna wakati niliwahi kupeleka CV yangu ofisi moja kubwa tu hapa mjini, kwa kuwa walikuwa hawajatangaza kazi na mm mambo inazidi kuwa mbaya nikaona bora nitafute kwanza means niwasiliane na Director, nikafanikiwa kumpata baada ya kuhangaika sana. Director alionyesha kuwa mtu poa sana wakati tunaongea kwenye simu na kuniagiza nipeleke cv yangu ofisini kwake na ataishughulia mapema tu. Kufika ofisini nikakuta hayupo, nikamwachia secretary na kuondoka. Kabla sijafika mbali nikakumbuka kuna karatasi ambayo haihusiki nimeisahau kwenye ile bahasha, nikarudi mbio ile kufika nikamuomba yule secretary ile bahasha. Kwa macho nikamuona akiiokota toka kwenye DUSTBIN. Basi ikabidi nitumie mbinu nyingine kuifikisha pamoja na kwamba yule bi-dada aliomba msamaha sana akidai ilianguka bahati mbaya. Hiyo ni miaka 3 iliyopita.

Jana nimeenda ofisini kwa kigogo mmoja hapa mjini nilikuwa na appointment nae. Nilivaa simple tu, Jeans na tshirt, simple shoes. Kufika ofisini maongezi yalikuwa kama hivi,

Mimi: Habari za saa hizi dada?
Secr: Nzuri, nikusaidie nn?
Mimi: Naitwa Zorrander, nna appointment na .....
Secr: (Huku akiniangalia kwa dharau) WEWE? UNA APPOINTMENT NAE? Una shida gani!
Mimi: Ni personal, mtajie tu jina.
Secr: Ametoka ila hajaenda mbali, atarudi sasa hivi.

Baada ya kukaa kama 1 hr hivi bila hata kuulizwa kama nahitaji hata maji, jamaa kaingia na maongezi yetu yalianza pale reception,

Boss: Aisee Zorrander, hali vp bana (kabla sijajibu tena kwa uchangamfu wa ajabu) pole sana na nisamehe bure kulitokea dharura hapa ila hope hutajali sana
Mimi: Hamna neno Mzee, hata hivyo mda bado upo.
Boss: Ujue nilisahau kuwaambia hawa wanijulishe ukifika sikuwa mbali, karibu sana ofisini.

Baada ya kuingia ofisini secretary kaja,

Secr: Samahani kaka sijui unatumia kinywaji gani, aaa.... tuna soda, maji, coffee... (huku akiwa mpole ajabu, mbwembwe zimeisha!)

Acheni hayo mambo wadada.
 
ndo mjini hapa...ulitaka akupe maji kwani sebuleni kwenu pale...!!kwi kwi..
don't mind its how the game is...zoea tu..
 
ndo mjini hapa...ulitaka akupe maji kwani sebuleni kwenu pale...!!kwi kwi..
don't mind its how the game is...zoea tu..

Mbona alipoona response ya Boss wake ndo anajifanya anjaua kazi? Sijui alihisi nimekuja kuomba kazi? Hebu imagine ndo umekuja kuomba kazi tena ya u-secretary!!
 
Pole, sio wote wako hivyo na wengine wanapewa maagizo na maboss wao. Hata sie hatupendi mnavofanyiwa na maecetary kwa hizi ofisi zetu.
 
Shukuru MUNGU hata umempata hata huyo ambaye baadae amekuja na kukuuliza unakunywa kinywaji gani, wengine hata hawajigusi mara mbili kama aliamua kukuchunia baasi ujue mpaka unondoka mambo iko vile vile.

Si unajua baadhi ya maboss wanakulaga secretary wao hivyo wakikaa ofisini ni mambo ya kimapenzi mapenzi tu, hata secretary afanye nini boss yupo kama amevaa miwani nyeusi.

Wewe vumilia tu maana kila mtu anataka uone umuhimu wake katika kitengo chake.
 
Ilishanitokea pia. Tulikuwa tumepanga kwenye simu tuonane ofisini kwake muda fulani. Nilitinga ofisini kwake ambayo ni posh na jeans na shati bila kuchomekea.

Kufika kwa general secretary nikamsalimia kiheshima tuu na kumjulisha kuwa nina appoitment na boss wake. Akaniangalia juu mpaka chini kwa dharau hivi, mie nikajua ni wale wale.

Akaniuliza kwani wewe ni nani? Nikamjibu mie ni EMT. Akasema subiri. Akaenda kumwambia personal secretary wa boss, nae akaja akaniangaliaaaa.

Kisha akaniuliza una shida gani na yeye? Nikamjibu kuwa nipo town and amesema nisiondoke bila kuonana nae. Akaniuliza kwani wewe ni nani? Nikatabasabu, kisha nikamjibu tena mimi ni EMT.

Wote wawili wakaniangaliaaaa, kisha PS akaenda kwenye ofisi ya bosi kumwambia kwa mwendo kama vile hakutaka. Mara boss wao akaja fasta (kapiga bonge la suti), tukakumbatiana pale kwa furaha sana, akanikaribisha ofisini kwake.

Tukapiga story kidogo, kabla ya kwenda lunch. Wakati tunatoka, boss akanitambulisha kwa wale secretaries kuwa mimi ni EMT, rafiki yake wa karibu sana, lakini hatujaonana muda mrefu na nilikuwa class mate wake na ninaishi na kufanya kazi kama blah blah huko blah blah.

Ma-secretaries wakashtuka ghafla as if hawaamini walichosikia, nikawasalimia kwa tabasabu kubwa kwa kuwashika mikono. Nikamwambia mmoja nimependa hereni zake, akashtuka kabla ya kusema asante, kisha nikaondoka na boss wao kwenda lunch.

==============

Nimekumbuka hii wakati nasoma novel ya Fifty Shades of Gray by EL James.

"My destination is the headquarters of Mr. Grey's global enterprise. It's a huge twenty-story office building, all curved glass and steel, an architect's utilitarian fantasy, with GREY HOUSE written discreetly in steel over the glass front doors. It's a quarter to two when I arrive, greatly relieved that I'm not late as I walk into the enormous-and frankly intimidating-glass, steel, and white sandstone lobby.

Behind the solid sandstone desk, a very attractive, groomed, blonde young woman smiles pleasantly at me. She's wearing the sharpest charcoal suit jacket and white shirt I have ever seen. She looks immaculate.

"I'm here to see Mr. Grey. Anastasia Steele for Katherine Kavanagh."

"Excuse me one moment, Miss Steele." She arches her eyebrow as I stand self-consciously before her. I'm beginning to wish I'd borrowed one of Kate's formal blazers rather than worn my navy-blue jacket. I have made an effort and worn my one and only skirt, my sensible brown knee-length boots, and a blue sweater. For me, this is smart. I tuck one of the escaped tendrils of my hair behind my ear as I pretend she doesn't intimidate me.

"Miss Kavanagh is expected. Please sign in here, Miss Steele. You'll want the last elevator on the right, press for the twentieth floor." She smiles kindly at me, amused no doubt, as I sign in.

She hands me a security pass that has "visitor" very firmly stamped on the front. I can't help my smirk. Surely it's obvious that I'm just visiting. I don't fit in here at all. Nothing changes. I inwardly sigh. Thanking her, I walk over to the bank of elevators and past the two security men who are both far more smartly dressed than I am in their well-cut black suits.

The elevator whisks me at terminal velocity to the twentieth floor. The doors slide open, and I'm in another large lobby-again all glass, steel, and white sandstone. I'm confronted by another desk of sandstone and another young blonde woman, this time dressed impeccably in black and white, who rises to greet me.

"Miss Steele, could you wait here, please?" She points to a seated area of white leather chairs.

Behind the leather chairs is a spacious glass-walled meeting room with an equally spacious dark wood table and at least twenty matching chairs around it. Beyond that, there is a floor-to-ceiling window with a view of the Seattle skyline that looks out through the city toward the Sound. It's a stunning vista, and I'm momentarily paralyzed by the view. Wow.

………..

Another elegant, flawlessly dressed blonde comes out of a large door to the right. What is it with all the immaculate blondes? It's like Stepford here. Taking a deep breath, I stand up.

"Miss Steele?" the latest blonde asks.

"Yes," I croak, and clear my throat. "Yes." There, that sounded more confident.

"Mr. Grey will see you in a moment. May I take your jacket?"

"Oh, please." I struggle out of the jacket.

"Have you been offered any refreshment?"

"Um-no." Oh dear, is Blonde Number One in trouble?

Blonde Number Two frowns and eyes the young woman at the desk.
"Would you like tea, coffee, water?" she asks, turning her attention back to me.

"A glass of water. Thank you," I murmur.

"Olivia, please fetch Miss Steele a glass of water." Her voice is stern. Olivia scoots up and scurries to a door on the other side of the foyer.

"My apologies, Miss Steele, Olivia is our new intern. Please be seated. Mr. Grey will be another five minutes."

Olivia returns with a glass of iced water.

"Here you go, Miss Steele."

"Thank you."

Blonde Number Two marches over to the large desk, her heels clicking and echoing on the sandstone floor. She sits down, and they both continue their work.

Perhaps Mr. Grey insists on all his employees being blonde. I'm wondering idly if that's legal, when the office door opens and a tall, elegantly dressed, attractive African American man with short dreads exits. I have definitely worn the wrong clothes……"

Fifty Shades of Grey: E L James: Amazon.com: Kindle Store

cc. The Boss, gfsonwin the story continues. lol
 
tatizo letu wabongo tunapenda kwenda maofisini kwa watu bila appointment!ndio maana mnazinguliwa,pia wengine wanashida binafsi wataka wajekwenye maofisi ya watu kisa tulisoma pamoja au nirafiki
 
Next time Call before you go. Na usimsubiri mtu ofisini kwake zaidi ya 10Min you look cheap!(Huna kazi nyingine kung'ang'ania ofisi za watu for 1hr?)
 
teh teh teh, pole brother, umenikumbusha mbali sanaaaaaaaaaaaa!!! enzi hizo naitwa mbeba mafaili ya boss ha hah aa ama kweli watu tumetokaga mbali lol!!! nakumbuka tu siku moja nilikosea boss wangu huku ananifokea akaniuliza hivi umesoma mpaka darasa la ngapi wewe? umemaliza la saba?? masikini mie!! leo akiniona hana la kusema!! si vema kabisa kumdharau mtu maana kesho yake huijui.
 
Kwa namna yoyote ile, dharau ni kitu kibaya sana. Unayemdharau leo unaweza kushangaa kesho ndiyo boss wako au ndo ukaja kumuomba msaada!
 
tatizo letu wabongo tunapenda kwenda maofisini kwa watu bila appointment!ndio maana mnazinguliwa,pia wengine wanashida binafsi wataka wajekwenye maofisi ya watu kisa tulisoma pamoja au nirafiki

Soma story kwa makini, nilkuwa na appointment nae, sema jamaa alipata dharura.
 
kweli mzee wengi wakoivyo kuwajudge watu kwa appearance, wajinga sana utafikiri walilazimishwa hizo kazi au wanafanyazifanya bure,kenge wengine ukiwakuta walishatafunwa na maboss wao dharau utakayo kutananayo unaweza ukaigeuza ofisi ya watu Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania..!!??
Habari za asubuhi wana MMU,

Naomba tu leo tutafakari na kuwakumbusha hawa ma-secretary wa maofisini tabia za baadhi yao kudharau watu sio nzuri.

Kuna wakati niliwahi kupeleka CV yangu ofisi moja kubwa tu hapa mjini, kwa kuwa walikuwa hawajatangaza kazi na mm mambo inazidi kuwa mbaya nikaona bora nitafute kwanza means niwasiliane na Director, nikafanikiwa kumpata baada ya kuhangaika sana. Director alionyesha kuwa mtu poa sana wakati tunaongea kwenye simu na kuniagiza nipeleke cv yangu ofisini kwake na ataishughulia mapema tu. Kufika ofisini nikakuta hayupo, nikamwachia secretary na kuondoka. Kabla sijafika mbali nikakumbuka kuna karatasi ambayo haihusiki nimeisahau kwenye ile bahasha, nikarudi mbio ile kufika nikamuomba yule secretary ile bahasha. Kwa macho nikamuona akiiokota toka kwenye DUSTBIN. Basi ikabidi nitumie mbinu nyingine kuifikisha pamoja na kwamba yule bi-dada aliomba msamaha sana akidai ilianguka bahati mbaya. Hiyo ni miaka 3 iliyopita.

Jana nimeenda ofisini kwa kigogo mmoja hapa mjini nilikuwa na appointment nae. Nilivaa simple tu, Jeans na tshirt, simple shoes. Kufika ofisini maongezi yalikuwa kama hivi,

Mimi: Habari za saa hizi dada?
Secr: Nzuri, nikusaidie nn?
Mimi: Naitwa Zorrander, nna appointment na .....
Secr: (Huku akiniangalia kwa dharau) WEWE? UNA APPOINTMENT NAE? Una shida gani!
Mimi: Ni personal, mtajie tu jina.
Secr: Ametoka ila hajaenda mbali, atarudi sasa hivi.

Baada ya kukaa kama 1 hr hivi bila hata kuulizwa kama nahitaji hata maji, jamaa kaingia na maongezi yetu yalianza pale reception,

Boss: Aisee Zorrander, hali vp bana (kabla sijajibu tena kwa uchangamfu wa ajabu) pole sana na nisamehe bure kulitokea dharura hapa ila hope hutajali sana
Mimi: Hamna neno Mzee, hata hivyo mda bado upo.
Boss: Ujue nilisahau kuwaambia hawa wanijulishe ukifika sikuwa mbali, karibu sana ofisini.

Baada ya kuingia ofisini secretary kaja,

Secr: Samahani kaka sijui unatumia kinywaji gani, aaa.... tuna soda, maji, coffee... (huku akiwa mpole ajabu, mbwembwe zimeisha!)

Acheni hayo mambo wadada.
 
tatizo letu wabongo tunapenda kwenda maofisini kwa watu bila appointment!ndio maana mnazinguliwa,pia wengine wanashida binafsi wataka wajekwenye maofisi ya watu kisa tulisoma pamoja au nirafiki

Sometimes, mtu unaenda kwa appointment kabisa lakini wanakuzengua.

Of course, lawana haziendi kwa secretaries pekee.

Wakati mwingine boss anaandaa appointment halafu hamwambii secretary kuwa kuna mtu atakuja.

Ofisi nyingine wala hazihitaji kuweka appointment lakini unazinguliwa vile vile.

At the end of the day kinachotakiwa ni secretaries kufanya kazi professionally.

Wasibague watu kwa sababu tuu ya mavazi waliyovaa.

Maana wawezakuta King Babes ndo anayemweka mjini bosi wake.

[video=vimeo;10452851]http://vimeo.com/10452851[/video]
 
Next time Call before you go. Na usimsubiri mtu ofisini kwake zaidi ya 10Min you look cheap!(Huna kazi nyingine kung'ang'ania ofisi za watu for 1hr?)

Kuna vitu vingine lazima tu tukubali jamani, mtu kakuzidi kila kitu kinachoonekana kwa macho, ndo anakupa deals za maana mjini hapa, utashindwa kumsubiri? tena hapo penyewe kaja kukupa inshu ingine, acheni hiyo mambo.
 
Sikukusema vibaya. Kuna simu za mkononi siku hizi. Mtwangie jamaa moja kwa moja. Hawa Masecretary helimu duni na wengi wao wanaleta matatizi yao binafsi maofisini kwetu. Lazima uwe mjanja mkuu.
 
Nenda kuna kampuni fulani hivi iko masaki, ya recruiting. Panda zile ngazi juu pale utakutana na secretary/receptionist ana miwani mikubwaaaa!!
 
Back
Top Bottom