Mimi ni graduate wa MA Kisw toka chuo kikuu cha DSM mwenye fununu na kazi inayonihusu anitaarifu kupitia jamvi hili.
Mimi ni graduate wa MA Kisw toka chuo kikuu cha DSM mwenye fununu na kazi inayonihusu anitaarifu kupitia jamvi hili.
Duh!cjawahi kuona tangazo la kazi ambalo linataka watu wenye fani yako.
Kashike chaki kuna shule nyingi za Advance zina michepuo yenye somo la kiswahili kama HKL, KLF,HGK huko unaweza pata soko la kujimwaga na hiyo MA in Kisw.
nakushauri na naamini kwa asilimia 80 utapata jaribu kuomba kazi ya u'assistant lecturer kwenye vyuo vya St Augustine university iwe mwanzaMimi ni graduate wa MA Kisw toka chuo kikuu cha DSM mwenye fununu na kazi inayonihusu anitaarifu kupitia jamvi hili.
Umemshauri vizuri sana! Ahsante kwa kumtia moyo ndugu yetu!nakushauri na naamini kwa asilimia 80 utapata jaribu kuomba kazi ya u'assistant lecturer kwenye vyuo vya St Augustine university iwe mwanza
au colleges za mtwara, iringa, moro, bukoba, songea, tabora au moshi. kote huko course yenye wanafunzi wengi ni (B A Educ) ambapo kiswahili ni moja ya majoring subject.
vizuri zaidi akienda moja kwa moja kwa principal Rev.Dr. AsantemunguNjoo saut tabora wanahitaji mtu mwenye masters ya kiswahili fanya hima matafute DP AD Fr Ndasi