Alafu fundi anakuona lofa hamna unachojua. Kuna mmoja alitega Fox vibaya kama msaidizi wake nikamsanua, niliambulia dhalau nyingi na kejeli. Bwanaa wee si akapanda akaanza kujenga ghafla Ile Fox ikavyatuka akashikilia ule ukuta aliokua anaujenga na wenyewe ukawa unaanguka ikabidi aluke juu ya bati la choo ndio ilikua pona yake. Siwezi msahau fundi chaitupu 😂😂