Ngoja niwashauri wadogo zangu
Kama wewe ni jobless na una uhakika wa kula na kulala home
Fanya hivi, jichanganye kitaa ujifunze tuvitu vitu twingi twingi kama kunyoa, ufundi simu, ujenzi, udereva
Baada ya muda utapata uelekeo na hautakosa 5000-10,000 kwa siku, usikae tu tafuta ujuzi wowote