Ma-HR hamna huruma kabisa

Ma-HR hamna huruma kabisa

Ndio maana tunakuitaji we
we mwenye competence uje uokoe jahazi kiongozi...sasa kama utendaji
wetu maofisini ni mbovu vipi kama tukiajili tena vilaza ali si ndio
itakua mbaya zaidi..?

mtoke ss
 
kumbe walitangaza kazi za kufundisha kingereza eeeh

You are not serious...katafute Kazi kwenye SACCOS za sokoni uko..uku mjini utaumbuka coz natafuta watu wanao jitambua..we we nafikili ata jinsia yako hujitambui...pumbaf!.....
 
You are not
serious...katafute Kazi kwenye SACCOS za sokoni uko..uku mjini utaumbuka
coz natafuta watu wanao jitambua..we we nafikili ata jinsia yako
hujitambui...pumbaf!.....

endelea kufikilia na kutukana ila mwenzio nafikiria
 
Mmh! Iyo NGELI mdau kama ndo unapeleka kwa interview hata kama walikuwa wanagawa nauli cjui kama utapewa.
Kwa kiingereza hiki unachoandika hapa. Tayari umeisha kosa Kazi baba...siumeona Mzee? Competence, competence ndugu yangu
 
Back
Top Bottom