unamuita mtu toka mkoani huko kuja kufanya interview kumbe mshamuandaa mtu wenu,inauma sana ila Mungu atawalipeni
umejuaje kama walishamuandaa? any proof?
Jiamini bwana mdogo...ukiona umekosa rudi home kajipange upya. Interview za Siku hizi wanataka competent na sio longolongo
competents?!! mbona utendaji bado mdogo na mbovu sana huko maofisini kwenu?!!
unamuita mtu toka mkoani huko kuja kufanya interview kumbe mshamuandaa mtu wenu,inauma sana ila mungu atawalipeni
Jiamini bwana mdogo...ukiona umekosa rudi home kajipange upya. Interview za Siku hizi wanataka competent na sio longolongo
Nimempenda huyu mtoto wako sijui anapiga sarakasi
Ha ha ha huyo mtoto amevulugwa na ajira za hapa mjini.
Ndio kusema anashaka maisha home yatakua hayaeleweki nini??Hahahahahahaaa yaani
umejuaje kama walishamuandaa? any proof?
sidhani kama nikiandaliwa kama ivo naweza nikaiita bahati labda unipe jina tofauti niiteBahati yako ikfika, na wewe utaandaliwa
Jiamini bwana
mdogo...ukiona umekosa rudi home kajipange upya. Interview za Siku hizi
wanataka competent na sio longolongo
hahahah lets we find out mkuu we shall met thereSafi sana mkuu.
Asikatishe tamaa watu huyu jamaa...mi namjua vizuri ata uku COASCO
ameomba Kazi tunamsubili aje atuonyeshe competence licha yakua jina lake
ndio la mwisho kabisa. Ila akifanya poa atapata Kazi vilevile
competents?!! mbona utendaji bado mdogo na mbovu sana huko maofisini kwenu?!!