Ma-GWIJI wa kuzimika kwa Ulabu, Mataputapu, Mbege n.k

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
687
h.jpg
e.jpg
o.jpg
m.jpg
j.jpg
c.jpg
g.jpg

l.jpg
f.jpg
b.jpg

k.jpg
d.jpg
i.jpg

a.jpg
 
Mdada ndo namuona kama Champion haswaaaa
 
Daa, sijui nisemeje maana picha nyingi hapo ni shemeji zetu huku Poland.

Kuna moja naona bia aina ya ZYWIEC ambayo ni maarufu sana hapa. Pia hii picha imepigwa kwenye mji unaitwa Opole, sehemu ya kufungia ndoa. Sasa sijui walikuja kufunga ndoa au ndiyo waliona ni sehemu nzuri ya kupatia kilaji na hapo wakakata mkanda wa picha.

attachment.php

Kuna nyingine nilishawahi kuiona kwa kweli inasikitisha sana. Hebu angalia mwenyewe hii film chini;

Kweli pombe ni mwanaharamu ingawa ukweli ni kuwa kila kitu kikizidi, kinamadhara. Hata chakula kinauwa.

Last edited by a moderator:
Beer,Wine, Whisky, Gin are the man's worst enemies, <?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /><o:p></o:p>
And the man who runs away from his enemies is a COWARD<o:p></o:p>
 
Daa, sijui nisemeje maana picha nyingi hapo ni shemeji zetu huku Poland.

Kuna moja naona bia aina ya ZYWIEC ambayo ni maarufu sana hapa. Pia hii picha imepigwa kwenye mji unaitwa Opole, sehemu ya kufungia ndoa. Sasa sijui walikuja kufunga ndoa au ndiyo waliona ni sehemu nzuri ya kupatia kilaji na hapo wakakata mkanda wa picha.

attachment.php

Kuna nyingine nilishawahi kuiona kwa kweli inasikitisha sana. Hebu angalia mwenyewe hii film chini;

Kweli pombe ni mwanaharamu ingawa ukweli ni kuwa kila kitu kikizidi, kinamadhara. Hata chakula kinauwa.

Hii kiboko.... mzee kapiga ulabu mpaka anatambaaa.....:twitch:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom