Ma doctor msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ma doctor msaada

Discussion in 'JF Doctor' started by Naloli, Apr 22, 2011.

 1. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nina ndugu yangu wa damu wa kiume anatatizo la Mapumbu yake ni makubwa usawa wa ngumi yake, alipoenda Hosp kuangalia kama anatatizo la busha/matende wakamwambia hana tatizo hilo. Tatizo ni kuwa alidhani anatatizo la busha walipomwambia ni salama hakuangalia matatizo yanayo sababisha tatizo hilo. Kiufupi pumbu zake hazilegei mara kwa mara na muheshimiwa uwa mdogo ufufuka pale anapo dinda na size uwa ya kawaida kama nci 5 na point, kinachomkele ni ukubwa wa huo mzigo aelewi ni tatizo au vp. mimi siku zote nimemwambia ni maumbile tu na si tatizo na kama anakehereka aende hosp tena. Lakini kwa kuwa hapa kuna jukwaa hili naomba ufafanuzi wenu ili kunusuru hii hali, jamaa ana mke na watoto watatu.

  Madaktari msaada wenu unaitajika
   
 2. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hilo ni tatizo lako usimsingizie ndugu yako. Jambo moja hujasema, je, huwa anapanda mlima?
   
 3. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,141
  Likes Received: 3,330
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo, unamaana ka mvisha gamba mdogo ake.
   
 4. kure11

  kure11 Senior Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani tatizo lliwe lake la mdogo wake tutoe msaada tu,wengine huwa hawapendi kuonekana wana matatizo jameniiiiii!!! Karibuni madactari.
   
 5. Mhindih

  Mhindih JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Kwa nn unamchunguza ndguyo ivo inamana nyeti zake anakuachia ufanye unavotaka? Kama ni tatzo lako ucmzngizie m2 mwngne.
   
 6. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Kuvimba pumbu inaweza kuwa...1. Mfuko wa pumbu (kende) ndio umevimba, mara nyingi busha ambalo hujaza maji kwenye mfuko wa kende, 2. Kende zenyewe kuvimba. Amuone daktari wa upasuaji (surgeon) amuexamine vizuri kujua kama kuna uvimbe au la..na kama kuna uvimbe ni wa kende au mfuko wake.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  JF kiboko

  Gamba hadi kwenye pumbu?
   
 8. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Jamani ebu tuheshimu maadili. Kama wewe siyo doctor acha porojo, haikuhusu kama amemsingizia ndugu yake, ni yeye tunachohitaji ni RIWA atushauri nyie wanasheria kaeni kushoto haiusu na pumbu haziko kwenye msahafu wenu wa sheria. RIWA Big up!
   
 9. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kama ni yeye au mdogo wake siyo hoja,anachataka yeye ni ushauri wa Daktari. Hivi humu ndani hawapo ma-Daktari?Tatizo la kuvimba pumbu na uume kua mdogo kabla ya kusimama/dinda linawasumbua wengi, jibu likitoka kwa mtu mmoja linakua limewasaidia wengi kwa wakati mmoja.
   
 10. K

  Kanjunju Member

  #10
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jf sina hamu nao kila mtu ni doctor.tunaomba msio madoctor muwe waungwana kwenye hili jukwaa maana wakati mwingine mnatenda isivyo kwa wagonjwa.
   
 11. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  jamaa ana mke na watoto watatu anakuachia umchunguze huko kwenye red duu this is new, never heard tangia nasaliwa
  wenu ili kunusuru hii hali hapa napo kama unajizungumzia wewe hivi? alafu ukilinganisha na maelezo yako ambayo sio rahisi mtu akuonyeshe inaonekana ni wewe.
  Nakupa pole Mr. Naloli na nakushauri urudi tena Hospital ukizingatia na ushauri wa Riwa.
  kuna maumivu yoyote unayapata?
   
Loading...