Ma dk & profesa waliodesa enzi zao!!!list?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Najua hili lipo na yawezekana uko hum ndani embu tuelekezeni tatizo sugu la hili swala..tunaona wenzenu wkenye vtv wanalalamika tatizo bila kutaja sorce na litaishaje..embu ukiwa kama mbunifu maana kudesampaka uprof si kitoto tusaidien na je mnavyoona linawezekana kumalizika ama wanapoteza muda kujazana kwenye kumbi za mitihani..tueni na jinsi mlivyokua mkifanya mpaka mkafika hapo!!!!wachilia mbali ma DK wetu feki wanaojulikana wewe uliefika mpaka....na yamkini waweza ukawa unafundisha.....

nakumbuka nikiwa engineering tunapiga paper alukuja prof mmoja mnoko sana anaitwa prof mayo huy mzee aliwakatisha maisha ya wengi sana sna wakafikia kumwiba mwanae mpaka atoe majibu mzee wa watu akayoa majibu ambayo mpaka sanate aikuamini Maji imekamata 5.huyu mzee alikuwa anaanda ikarusi lake kila mwaka kama jamaa mmoja mhaya wa computer enzi hizo....mzee akaambiwa tangaza matokeo mtoto unampata YAKATOKA akaambiwa mwanao yuko lodge fulan...

so kuna mambo kama haya yanafanya mtu unatumia extra miles kufanikiwa mitian mfano huyu mtu alikuwa anaondoka na si chini ya vichwa 40-50 na senate wakimlalamikia anajitetea ..na ukikuta disco nyingi kawamaliza yeye...

so kuna Wengine waanahamu ya kuelewa na kujitegemea kwenye mitiahaN lakini baadhi ya walimu wanwafanya wawe SUPER MODELLING ON DESARING...huyu mwalimu alikuja kusimamia somo fulani tukakaa gorofani jamaa akaona mbona jamaa amekomaa akatupa karatasi chini jamaa akashuka fasta ...kufika chini anakuta ujumbe acha kukomaa wote tunapita tuangalie wadogo zako..alikaa kama dk 25 watu awakuamini akaja dk za mwisho akakusanya mitihani yaker...uliza umo ndani hatari tupu......desaa desaa deswaa wanadada zile nguo za ndani zinafunguliwa mtu kapiga paper nzima kwenye underdress ...kama tangazo la ZAIN...akuna aliefeli..so walimu nao waangalie hili swala ....
 
Kwa bahati mbaya walimu wengi wa elimu ya juu walichangia sana kuiharibu elimu ya Tz. Waliona ufahari kuona watu wanafeli na sio wanasoma waelimike.
 
Dah huyo Mayo alikuwa balaaa kwa upande wa Civil na Chambega yeye alikuwa anakula vichwa vya electrical, wadau wa Mechanical sidhan kama hawamfahamu mtu kama Dr Nyahumwa, Mushi, na mzee wa vibration N.Nalitolela..Kwa idara ya CPE enzi hizo kuna Dr Masanja na Raphel ndo walikuwa wanashindana kula vichwa..kwa kifupi waliosoma Engineering ilikuwa shughuli pevu kuipasua aka nne...wengine walitunukiwa Bsc Eng(with Supplimentary) mana kila mwaka wapo nyavu tu!! LLB na FoE hawakuwa wanachekana zos days..mashaka matupu kwenye kusubiria majibu ya UE..
 
Kwa bahati mbaya walimu wengi wa elimu ya juu walichangia sana kuiharibu elimu ya Tz. Waliona ufahari kuona watu wanafeli na sio wanasoma waelimike.

Tatizo walikuwa wanaingia kufundisha pasipo kuwa na elimu ya ufundishaji zaidi ya Ukipanga wao hapo ndo waka wanaharibu wanafunzi..yaani inafikia mwalimu anashindwa kufundisha kisa mwanafunzi aelewe sasa ww hujamfundisha vizuri unafundisha kibabe unadhani utaeleweka?? Elimu ya bongo bana yaani msuli tu kudesa..kukomaa na past papers etc sijui kama walikuwa wanataraji kutoa wanafunzi waliobora kwenye fani ya kazi...mwalimu alikuwa anasifika kwa kunyaka watu wengi
 
Kaka nasoma natoa tabasamu tupu mbele;pole sana najua ulikuwa kwenye yale maikarusi hatimae ukashuka...tusiwalipize wala kuwalaumu ila naishia kuwkumbuka ,..ielimu nilioipata ikabidi nikapige open ka bba cha miaka 3

great ayo/ishengoma/etc
 
Unanikumbusha mbali sanaaaaa! miaka hiyo ya akina Prof. Mayoooooo!!! Hivi bado yuko UDSM au amesha staafu?
 
hapa tatizo sijuhi lilikuwa roho mbaya au nini?

ni ukweli usiopingika kuwa hawa jamaa wlikuwa ni vichwa na walisoma chuo wakati huo kilikuwa ni cha kweli chini ya Walimu Wajeruman na Wahindi na hata ukiangalia hizo Phd na Masterz zao zilikuwa za nje na kwenye vyuo vya ukweli, nashindwa kujua kabisa tatizo lilikuwa nini

nilikuwa naonaga jamaa wa Geology walivyokuwa wanaangaishwa na kina Marehemu Dr. Kapilima at el
 
teh,teh,teh,te teee..teh,t....

Waalimu wengi wamesoma kwa taabu saaana,matatizo mengi katika kusoma kwao wengine uDK wameupata miaka 20 baada ya master d.
Waoneeni huruma tu,sio kosa lao kiukweli jamaani - ila kwa mambo yanavyokwenda siku hizi 25yrs kijana ana master d yake fresh kwa boom la mkono. Tz itabadilika tu ma ila lazima victims wawepo kama vile nyie hapo juu!!!
Ki ukweli waalim wengine wanataka ww ufaulu zaidi kuliko kushindwa maana ukishindwa ww ameshindwa na yy.Mungu ibariki elimu yetu.
 
Back
Top Bottom