List based on your perception!!Haya haya wakuu mwaka ndo hivyo tena unatokomea;
Hivyo basi nimeona siyo kesi kwa sisi wapenzi wa kusikiliza music nije na list ya baadhi ya madj waliofanikiwa kuukonga moyo wangu vilivyo katika suala zima la burudani nao si wengine bali ni;
@DJ D ommy
@Dj Scratch designer
@Dj Ferruh
@Dj Sinyorita
@Dj Nico track
@Dj Dea
@Dj Mami
@Dj Summer tz
@Dj Martin kanyala
Aiseee wapo wengi ila hao ni baadhi tu kati ya wengi kwa mwaka huu 2018 kupitia playlists zao na mixing zao nimeburudika vilivyo.
Na wewe mdau unayofursa ya kumtaja/kuwataja ma dj wako bora kabisa walioweza kuukonga moyo wako kupitia mixing na playlists zao kwa mwaka huu hapa.
Karibu sana:
Unaongelea Radio&TV DJ au club DjsHaya haya wakuu mwaka ndo hivyo tena unatokomea;
Hivyo basi nimeona siyo kesi kwa sisi wapenzi wa kusikiliza music nije na list ya baadhi ya madj waliofanikiwa kuukonga moyo wangu vilivyo katika suala zima la burudani nao si wengine bali ni;
@DJ D ommy
@Dj Scratch designer
@Dj Ferruh
@Dj Sinyorita
@Dj Nico track
@Dj Dea
@Dj Mami
@Dj Summer tz
@Dj Martin kanyala
Aiseee wapo wengi ila hao ni baadhi tu kati ya wengi kwa mwaka huu 2018 kupitia playlists zao na mixing zao nimeburudika vilivyo.
Na wewe mdau unayofursa ya kumtaja/kuwataja ma dj wako bora kabisa walioweza kuukonga moyo wako kupitia mixing na playlists zao kwa mwaka huu hapa.
Karibu sana:
Naongelea Wa media mkuu karibu sanaUnaongelea Radio&TV DJ au club Djs
Hapo sio wote utawapata sehemu zote, wengi wapo wa club pekee na wapo wa media...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Gender sensitivityNaongelea Wa media mkuu karibu sana
Smart guy
Kwa upande wangu hao wanatosha, hata nyinyi wadau fursa ni yenu kutupia list yenu pia.Mbona simuoni ommy crazy
ao ma Dj wote uliowataja wanamuogopa Dj mavuvu afu we hujamtaja et..
it fun..[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande wangu hao wanatosha, hata nyinyi wadau fursa ni yenu kutupia list yenu pia.
Smart guy