Bin Kawambwa
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 480
- 356
Wateja wa online maswali meeengi, Kisha "ngoja nijipange, ntakutafuta"
Ukimpa maelezo ya kutosha anayapokea kisha anakwambia aende kujipanga. Baada ya muda anachukua maelezo yako anampa kazi mtu mwingine.Wateja wa online maswali meeengi, Kisha "ngoja nijipange, ntakutafuta"