ma adui wa maendeleo

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
Zamani vita vilikuwa vya ujinga, maradhi na umaskini ila sasa hivi Usnichi, Majungu, Wivu na Chuki ndio vinaongoza hasa kwa vijana.
 
Ndio mwisho wa dunia....

Utakuta mtu anamtia kichaa mtoto wa mwenzie kwa vile amefanya vizuri masomo yake na kila aina ya jitihada na wazee wake wanakula matunda...ilhali wake kajipweteka na wala hamuhimizi kwa lolote...
 
Ndio maana mini nataka kurudi utotoni
Nalog off
 
Usnichi ni nini....naonaga watoto wamepost facebook "I hate u Snitches"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…