M4PI....! Kituko kingine cha CCM maslahi

Huu uchaguzi wa mwaka huu naona watu wengi wanafuata mkumbo tu kwa kushabikia hawa wagombea. Yaani watanzania

wengi masikini ya Mungu wanahitaji elimu ya uraia ili wajitambue.

tupe basi hiyo elimu, ndio lengo lakuwa na hili jukwaa hapa usitoe povu tu
 
Magufuli for Public Interest vs Magufuli for Prohibited Immigrants sio hoja ya kujadili kiongozi. Siwezi kuchalenji hoja zinazoletwa kwa njia za mihemko. It's like telling me to argue for "Toroka Uje" statement. Soma bango lako...!!

M4C-kiasili ni MOVEMENT FOR CHANGE lakini stupidly ikachakachuliwa na magufuli na kuwa movement for magufuli, sasa nashindwa kuona unapata jotro m4pi nikiitafsiri kuwa ni m4prohibited immigrant
PI kwenye maswala ya uhamiaji ni neno baya Sana, na passport yako ikitokea ukagongewa PI jua umekwisha, hutakaa upokelewe popote
Kwahiyo mnapojaribu kutengeneza vitu kama hivi angalieni visiwaletee tafsiri hasi na Nuksi mbeleni
 

mshana jr,
Kituko kikubwa zaidi hapo kwenye red. Kama ulivyoshangaa, vijana hao wamedai hawana vyama, lakini kumbe wana kadi za vyama vya siasa. Ok, tuchukulie walikuwa na vyama vya siasa ila sasa "for public interests" kama wanavyodai, wameamua kuachana na vyama vya siasa...sasa kituko ni hiki..kama wameamua kutokuwa na vyama vya siasa, huyo mwakilishi wa CCM alikuja kupokea kadi hizo ili iweje? Lengo la mwakilishi wa chama fulani kupokea kadi ni kuwakaribisha hao 'wageni' ndani ya chama chake na kuwapa kadi mpya, sasa hawa ambao hawana vyama wanahusiana nini na CCM? naona script yao iliandaliwa vibaya kama ambavyo wasanii wa filamu za bongo wanavyochemka siku zote.
 
Last edited by a moderator:

lopinavir;
upo sawa kabisa lakini ili utamu ukolee wa hao waongokaccm wanakupa kadi zilizorudishwa Shyinyanga wanazitoa Mtwara na kuwagawia vijana wao waonekane ka kwamba wameeleweka vizuri mpaka watu wakarudisha kadi.
Hao ni waongokaccm tu si lolote. Mchezo huu mwisho ni kampeni hii, zijazo watu wataeleza walifanya nini, wana malengo gani na watatufikisha wapi sio ujinga ka huu kuwatukana wazazi wao kwenye majukwaa na Muumba wao kumwambia hajui kitu. Sijaona sera yao. Maongokaccm hayo yamekosa sera, mvuto na yameshajua hayapendeki ndo yamebaki ba mbwe mbwe hizo. Wangekuwa wamefanya kitu ni nani angedanganywa awakatae??
 

Nimeapa sitoangalia tena taarifa star tv.
 

Hili huwa linanishangaza pia, na lipo kwa wanasiasa wa vyama vyote. Kwa bahati mbaya mimi si mwanachama wa chama chochote kwa hiyo sijawahi kushika kadi ya chama chochote mikononi mwangu. Kwa maana hiyo sijui inakuwa imeandikwa vipi kuhusiana na nini kitafanyika pale mwenye kadi atakapokoma kuwa mwanachama wa chama husika aidha kwa kufukuzwa au kwa makusudi yake mwenyewe. Je kadi inatakiwa ipelekwe wapi au anatakiwa aichane/aichome moto, aigawe au airudishe kwa waliompa? Kama kadi za wanachama walioamua kutoendelea na uanachama zinakuwa hazirudishwi chamani, je vyama vinakuwaje na uhakika wa takwimu kuhusu idadi ya wanachama wake? Je, haiwezekani kuwa na orodha ndefu ya wanachama kwa kuangalia kadi zilizokwishatolewa tangu chama kianze kumbe wengine walichakengeuka au kufariki?

Huwa sioni mantiki ya "kurudisha" kadi kwa mtu ambaye hakukupatia kadi hiyo. Anyway, wanajua wenyewe wenye vyama vyao.

Ila hilo la leo Mwanza ni igizo lililokosa script makini!
 
Nimeapa sitoangalia tena taarifa star tv.

Mimi mwenyewe ilitokea bahati mbaya baada ya ITV kutokuwa hewani... Lakini kumbe hata hivyo ilikuwa ni sababu ili nione hiki kituko
 
Mimi na my wife almanusra tuvunjike mbavu wakati habari hii inarushwa na Star TV! Very funny, indeed!

Kwa kweli hali ni mbaya cc wenyewe tulicheka sana. Halafu kadi zote zilikuwa mpya.
 

Na kwa aina hii ya watu tulionao, pamoja na hao viongozi wanaowashabikia...itakuwa miujiza kusonga mbele kama taifa. Yaani upofu na mapenzi kwa vyama vya siasa au mkumbo unaotokana na sababu wanazozijua wenyewe umewafanya watu wawe kama vipofu. Hawaoni kuwa tuna wakati mgumu, mambo mengi yame-paralyse na tunahitaji mwanzo mpya.

Kweli kazi tunayo kubwa zaidi kukisaidia kizazi hiki. Jambo la kusikitisha ni kwamba, hata vijana wamo!
 

Any statement can/could be translated jinsi mtu atakavyo. Ndio maana hata wanaoandika vitabu na majarida, lazima watoe maana ya vifupisho kukwepa kuchanganya wasomaji. Nothing is certain except life and death bro.!!

Unaposema original ya M4C ni Movement for Change, una maana gani? The most popular abbr. for M4C is "Meet for Coffee". Nashangaa unakuja na hoja ya originality!! Likewise for PI, tena tusiingie hapo coz there are whole lot of abbr. for PI...tusikariri kiongozi!!
...hence, they are free to use M4PI...unless you wanna be personal!!
 
Kwanza kadi ni mali ya mwanachama husika.Pili hakuna haja ya kurudisha kule ulikochukuwa unaweza hata kuchoma au kuchana.KADI ni mali yako.
 
teh teh mkuu kumbe wanajitekenya na kucheka wenyewe mwaka huu LOWASSA RAIS
VIVA UKAWA!!

Hili hapa limemaliza Udom mwaka huu LL.B likiwa mwenyekiti ccm. Tangu mwaka 2011 likiwa first year linaendesha kampeni za Marafiki wa Lowasa vyuoni. Unakumbuka Loawsa alitembelewa na waliojiita wanafunzi wa Udom kumwomba agombee urais akiwa ccm (El). Oraganiser alikuwa huyu na jitu lingine linaitwa Lutelano (rais wa chuo by then).
So wasihadae watu kuwa hawana chama wakizidi tutaweka na kadi za uanachama na picha wakiwa na mavazi ya ccm wakifanya shughuli za ccm.
 

Attachments

  • 1443794174656.jpg
    52.5 KB · Views: 152
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…