kweli mkuu unalosema hawa magamba wakipita sijui kwa hila gani, tutaipata, hususani mkoa wa MBEYA, kwani juzi nimemsikia mtu wa ugambani anasema hawa watu wa mbeya ni viburi sana ole wao tupite watajuta kuwafahamu!!! kwani lazima yalipize kisasi kwa aibu waliyopewa na wana nchi,
Magufuri
4
pombe
Hii imetokea leo huko Mwanza ,eti vijana zaidi ya 180 wasio na vyama wameamua kufanya kongamano la kuhamasisha amani na maslahi ya taifa/jamii
M4PI kirefu chake ni Magufuli for public interest ...lakini Mimi naitafsiri kama magufuli for prohibited immigrant
Sinema ikakolezwa na wachangiaji kusema wameamua kumuunga mkono magufuli
Kisha wakarudisha kadi ya vyama walivyotoka, mlengwa kikiwa ni CHADEMA
Kisha wakaahidi kumpa Kura magufuli na kuahidi kuwahamasisha wengine kufanya hivho
Tujadili :::::::
-ni kongamano LA vijana wasio na vyama lakini wana kadi za vyama vya siasa.... Upuuzi uliovuka mipaka
-anaalikwa mwakilishi wa ccm kupokea hizo kadi chache zilizorudishwa na kusema kuwa alipigiwa simu na kuja fasta... Uongo wa kitoto hasa
-vijana wanahojiwa mmoja mmoja wachache wao, wanasahau lengo la kongamano lao na kujibu Kama watu waliopangiwa majibu na ccm, na karibia wote wakimsifu Sana magufuli
Chombo cha habari kilichoalikwa ni Star TV na habari inapewa coverage kubwa mno... Na hii ndio M4PI,
Mtaandika sana mwaka huu lakini Magufuli will be your next prezda!!
Magufuli atakuwa raisi wako wewe na yule hawara wako,sio raisi wa tz hata ubunifu ccm hawana te yaani kama ni kuishiwa sera basi ccm iko 0 kwasasa ukitaka kuwa samala mahali popote sema ccm vibaya ila ukitaka ujichukie sifia ccm utajuta,watu tunataka mabadiliko wewe unaleta mchezo
Huu uchaguzi wa mwaka huu naona watu wengi wanafuata mkumbo tu kwa kushabikia hawa wagombea. Yaani watanzania
wengi masikini ya Mungu wanahitaji elimu ya uraia ili wajitambue.
kweli mkuu unalosema hawa magamba wakipita sijui kwa hila gani, tutaipata, hususani mkoa wa MBEYA, kwani juzi nimemsikia mtu wa ugambani anasema hawa watu wa mbeya ni viburi sana ole wao tupite watajuta kuwafahamu!!! kwani lazima yalipize kisasi kwa aibu waliyopewa na wana nchi,
Mtaandika sana mwaka huu lakini Magufuli will be your next prezda!!
Wasubiri watayaona madhara ya kuupiga ng'wenzi mkuki tar 25/10
Mtaandika sana mwaka huu lakini Magufuli will be your next prezda!!
Utaisoma namba Nyumbu wewe! #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI
M4PI ndio Habar ya mjini
M4PI ni movement yenye manufaa kwa taifa
Replies kama hizi ukizisoma unapata picha ya kwanini kama taifa tunahitaji ukombozi kwenye Kila kitu hasa elimu na fikra mpya hasa kwenye uongozi wa nchi
Watu hawawezi kabisa kujenga au kubishana kwa hoja bali visentensi vyenye mipasho visivyo na mbele wa nyuma Kama hizi replies hapa
Tunaposema tunahitaji mabadiliko ni dhana pana sana, tuna kundi kubwa sana la wananchi ambao bado hawajajitambua na ambao wanaona hali tuliyo nayo ni stahiki yetu
Nani kasema hawana chama? Tazama picha kuna lile bichwa limeshika mike linaitwa Donatus au RUTA limemaliza Udom mwaka huu akiwa mwenyekiti ccm