M4C Yaanza kwa Mdororo mkubwa 2013

M4C Yaanza kwa Mdororo mkubwa 2013

Pole saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana! Hivi unalipwa kiasi gani kwa kila uharamia mnaopanga kufanya kwa CDM?
 
Kumbe ni wewe Radii!
 
Last edited by a moderator:
Zile harakati uchwara za M4C zinazoendeshwa na chadema zimeingia hatua nyingine muhimu ya kudorora na kususiwa na wananchi hasa katika hatua ya kutoa sadaka cjui mchango wa kueneza hayo yameanza kujitokeza katika mkoa wa Iringa na yanaonekana yatasambaa nchi nzima na kuishia kama zile harakati za CUF.

Baadhi ya wahusika walipoulizwa kwanini mdororo ni mkubwa walijibu kuwa baadhi ya viongozi wa M4C wanakabiliwa na shutuma za ufisadi wa fedha za opresheni hiyo; wengine wanasema hamasa ya wananchi inashuka kutokana na kutomuona majukwaani kiongozi wao kipenzi Zitto Kabwe kwani jana kundi kubwa la vijana walijitokeza na kuimba tunamtaka zitto,zitto.

Kwa hali ilivyosasa kauli mbiu ya mbowe kuwa mwaka 2013 ni mwaka wa nguvu za umma inaanza kupotea;Ilihali CCM ikiendelea kujiimarisha kwa wananchi pamoja na kutekeleza Ilani yake Barabara; na kuifanya kushinda kwa wepesi kabisa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015
subiri uchaguzi wa madiwani wa Arusha ndio useme kwamba ccm inaelekekushinda mwaka 2015
 
Shetani amekemewa vya kutosha na ametoka,wapumbavu kama hawa wakemewe na washindwe
 
Huyu Chizi anazungumzia mdororo wa nini? Photo Jan 3, 2013 6_25 PM.jpg
 
Kundi haramu la Pindua Mbowe-PM7.Kamwe hamtafanikiwa.
 
Radii hivi wewe mwanamke au mwanaume?nyie masalia inabidi mpelekwe makumbusho ya taifa
 
Radii,
Umetufumbua macho kwenye M4C wanaochangisha pesa ni kina Lema hakuna watu wengine.
 
Last edited by a moderator:
ukiona vilio vya msiba vimepamba moto hasa kwa kina mama,penyeza sinia la ubwabwa utaona dk 2 wote kimya! M4C NI NOMA WEWE gamba!
 
hivi vijana kama Radii wanapopiga propaganda za ccm dhidi ya CDM wanapata nini?!! au ni hivyo vi elfu kumi kumi wanavyohongwa!!! akili mgando kweli...hiyo UVCCM mbona imesahaulika na inakumbukwa vipindi vya chaguzi tu....aah nimekumbuka kawimbo kalikokuwa kanaimbwa wakati ningali kadogo. ngoja nikaimbe Radiii afurahi.....'ccm juuu..chama, ccm juuu..chama. chama chetu kimeleta mapinduzi Tanzania jembe na nyundo...'
hivi dhana ya 'jembe na nyundo' bado iko applicable siku hizi au ni 'ufisadi na ukwapuaji'!
 
kwa maelezo yako tu utakuwa
unaexpirience ya kutosha ya kutoa hayo mananii yako kwa wanaokutuma
hongera sana A big

si useme masaburi unamuogopa nini
 
Bongo politics kama Bongo movie? Tutasikia mengi tusiojua wala kujihusisha na siasa
 
radii atakuwa na matatizo ya kisaikolojia yaani wazi anaonesha anataka kuwagombanisha wana chadema huyu jamaa ni mtu wa kumuogopa sana hafai hata kidogo naomba utuachie chadema yetu.
 
Back
Top Bottom