M4C ya CHADEMA na Wanachama Milioni 10 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4C ya CHADEMA na Wanachama Milioni 10

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Sep 25, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkakati madhubuti wa CHADEMA wa kufika vijijini na kufungua ofisi kila kijiji, kila kata na jimbo lazima italeta matunda 2015. CHADEMA wameamua kuekeza nguvu mikoa kama 15 yenye uungwaji mkono sana na idadi kubwa ya watu na lengo ni kuwa na wanachama 10,000,000 waliohamasika ifikapo 2014.

  Wanachama hao ni kuanzia vijana wa sekondari wenye kuanzia miaka 15 maana 2015 watapiga kura. Wakati wa kujiandikisha na kupiga kura ukifika, chadema itakuwa na wanachama tayari kwa idadi ya ushindi litabaki tu swala la kuhamasisha kujiandikisha na kupiga kura. Habari za ndani zinadokeza kuwa chadema sasa ina idadi ya wanachama karibia sawa na CCM na lengo ni kuwa na wanachama hai mara mbili ya CCM ifikapo 2014.

  Mkakati huu lazima utashinda. Peoplesssssssssssss poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
   
 2. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,819
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Mkandara alilijadili suala la CHADEMA kufuata watanzania waliojiandikisha kupiga kura vis-a-vis wanachama wa CCM kwa ufasaha sana; Katika ushindani wa siasa ndani ya demokrasia yoyote ile iliyokomaa na hata changa, independents na undecided voters ndio huwa wengi; M4C itakuwa na manufaa kama itajikita zaidi huko kuliko kufuata wanachama wa CCM i.e. VUA GAMBA, VAA GWANDA, ambao ni dhahiri hivi sasa wakifikia milioni nne Tanzania nzima itakuwa ni miujiza; milioni nne na milioni kumi inayolenga kuvuna kupitia M4C haviendani; huu ni mtazamo wangu tu ambao pengine ni finyu;
   
 3. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Mkuu achana naye huyo! bangi tu zinasukuma mawazo haya ya mtoa mada.
   
 4. m

  majebere JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Nyie mnaparangara huko bush sie tuna chakachua 2015.
   
 5. Y

  Yetu Macho JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nimeipenda disclaimer yako. Wakati mwingine ni jambo jema sana ukijitambua. Kwakweli huo ni mtazamo finyu kama ulivyouita. Hakuna chama kinachoweza kuchukua dola kwa kutegemea wingi wa undecided voters. Na hata sikumoja undecided voters hawawezi kua wengi zaidi ya decided voters. Tusichanganye wapigakura na wanachama.hulazimiki kuwa mwanachama wa chama flani ili uonekane kuwa decided. Chadema inajenga kukubalika kwa wote, wanachaman mashabiki na hata wanachama wa vyama vingine ili ikifika uchaguzi wote wawe wamekwishafanya maamuzi kukichagua. Ni taifa la kusadikika tu ambalo kufika kupiga kura zaidi ya 50pcnt washawishiwe na kampeni za mwisho. Wapigakura huona, kujenga imani, kueleweshwa na kuelimishwa kisha kuchagua. Its a process ndo mana huwezi kutokea hewani na kushinda. Lazma wapigakura wedevelop kwanza trust na wewe and soon as they got to trust you..they will make decision to vote for u.
  Hii ndio M4C. Getting ppl to trust CDM gona give them changes they want to see
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wewe ni heroin ndio zinasukuma mawazo yako?
   
 7. p

  polyie New Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpango huu ni wa maana sana...tunataka kutengeneza kizazi chenye mtazamo chanya na si kizazi cha watu waoga wa mabadiliko kwa kisingizio cha amani...katika nchi yenye demokrasia ya kweli ni haki ya kiraia kuchagua viongozi wenye sifa zifuatazo:waaminifu,wasioegemea upande wowote katika maamuzi,wazalendo,wenye mtazamo,na walio tayari kuwajibika kwa matendo yao....ccm imepoteza viongozi wenye sifa hizi.....wamebakia walafi,waongo,wasiowajibika kwa matendo yao,wenye kujilimbikizia mali na wasio na mtazamo ni wapi majimbo yao na nchi inakwenda...kwa hali hii demokrasia itawaondoa madarakani na wasitegemee miujiza katika swala hili...ukweli ni dhahiri.............peoplessssssss...............power.
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi mnawanachama wangapi mpige hesabu na wanachama wanao wakimbia.
   
 9. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hivi haiwezekani kuchaguliwa mpaka ute rushwa ....it's a disgrace to the party .JK KIkwete
   
 10. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
 11. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Mukama anajua, muulize utapata majibu ya ukweriiiii.
   
 12. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,218
  Likes Received: 1,271
  Trophy Points: 280
  Siasa safi ndiyo msingi wa democrasia.
   
 13. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  I truly admire the CDM strategic plans. Ukweli hawa watu wamejipanga bhana. This is how things are suppsed to be done.
   
 14. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Yule tuliye mrest in peace kwa MWIGULU hajawapa fundisho haya mchakachue mtajua hii ni Tanzania au CONGO.
   
 15. m

  majebere JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  hizi ni firimbi ja JF, hamna ubavu huo. tumezoea kusikia hii mikwara lakini mwisho wa maneno mtatulia tu.
   
 16. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hivi tokea tumeanza kuvua magamba hawajafika tu?
   
 17. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Confirmed:ccm watapata kura za urais zinazokaribia milioni 5 2015. So kama kutakuwa na wapiga kura milioni 12 the end is nearer.
   
 18. d

  dotto JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  reference Arumeru Mashariki na Igunga mbona tunasahau kwa ghafla hivi??!!
   
 19. O

  OPTIMUS TZ JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This time tunakuja piga kura na mshoka
   
 20. i

  ibange JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2013
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mpango huu uzingatiwe
   
Loading...