Wana Simanjiro ni watu wa amani mambo ya kwenda kwenye mikutano na sime sio mazuri angalizo kwa wana Chadema na wana CCM hatutaki damu imwagike.
m4c yatua kwa olesendeka kwa chopa, wakazi wa mjini arusha leo asubuhi walijitokeza kwenye uwanja wa nmc kuwaaga makamanda watatu lema, ole milya na mawazo walipokuwa wanajianda kupanda chopa kuelekea simanjiro watakoenda kufanya mikutano kwenye kata 14 yaani leo kata 7 na kesho kata 7 kisha wataelekea kwa jimboni kwa lusinde kabla ya kutua jimboni kwa wasira...
Wahuni wa aina ya Mwigulu Lameck Mchemba kule Simanjiro hawako, kwa hiyo tegemea mikutano ya amani tele.Wana Simanjiro ni watu wa amani mambo ya kwenda kwenye mikutano na sime sio mazuri angalizo kwa wana Chadema na wana CCM hatutaki damu imwagike.
Sikujua kama idadi kubwa ya Watanzania hawana ajira rasmi mpaka nilipoona picha ya waliokwenda kuangalia Helcopta ikiruka
Hivi T2015CDM, thithimwewe watasalimika kweli?
Wana Simanjiro ni watu wa amani mambo ya kwenda kwenye mikutano na sime sio mazuri angalizo kwa wana Chadema na wana CCM hatutaki damu imwagike.
Simanjiro sio Iramba bana!......huko hawaongwi kwa pombe za kienyeji......usitegemee ya iramba kutokea huko!