M4C Dar Es Salaam inawatangazia mkutano wa hadhara utakaofanyika viwanja vya stendi ya Tabata-Kimanga.
Ni KESHO tarehe 11/08/2013 ambapo Makamanda, Mch. Msigwa, Mh. Mabere Marando, Mh. John Heche, na mwenyeji wao Mh. Mama Raheli Mashishanga wataizizimisha Tabata na Dar Es Salaam nzima jioni ya leo. Karibuni wote.
Chadema chama cha watu,
Chadema Chama cha Ukombozi.
Njooni nyote tusikilize sera za ukombozi kutoka kwa Makanda.
People's Power!
Ng'wanangwa.