Ujio wa viongozi wa chadema kuja mkoani Tabora kumesababisha wananchi wengi kuacha shughuli zao kwenda kuwasikiliza viongozi wa chadema wakiongozwa na Makamu Mwenyeki Zanzibar Nd, Said mohamed na John Mnyika, uwanja mzima wa uyui umejaa watu na baada ya Mkutano yamefanyika maandamano makubwa ya kuwasindikiza viongozi hao hoteli waliyofikia.
Habari za kuaminika ni kuwa ametuma team ya watu wazito akiwemo mama yake na baadhi ya wasomi wenye hadhi ya uprofessa, kwa Kamanda Mbowe ili ku-reconcile.