M4C-OPD: Ndani ya Manispaa ya Bukoba - Jan 26, 2014

Ccm watabaki na kukamatana uchawi kwenye halmashaur wanayoongoza, kwa matumiz ya hovyo ya pesa za umma...na ubunge Wa kagasheki ni Wa kuhonga elf 5 na khaga....cdm jimbo lenu ilo......!!!!
 


  • mambo yote tunayaendesha kwa gharama zetu,kamanda bananga tunamchangia na hatujui kinachokukuna gamba wewe!!! angalia utaolewa na mijanaume!
 
Hii ni sooo M4C Pamoja sana!

Toeni hilo lichama la ccm hapo Bkb.
 
Kweli hii nchi imekomboka sss loh ...hongereni sana makamanda
 
ASA NI WAKATI WA WATANZANIA HASA WAISLAM KUTAFAKARI MAHUSIANO KATI YA CHADEMA NA CDU- Christian Democract Union cha UJERUNMANI YANAFAIDA GANI KWAO...?

"Kwenye hili slaa hajafanya siasa ya kawaida. Kuweka imani na ishara ya Zitto kabwe kwenye sanduku na kuongezea msalaba juu,huku akifahamu kabisa kuwa Zitto Kabwe ni muislam thabiti. haimaanishi tu kwamba ni siasa, inamaanisha kuwa Zitto anadharirishwa yeye pamoja na uislamu wake. Dokta slaa ndiye aliyeyapokea maandamano haya....dokta slaa ni padri, msigwa ni mcgungaji. Sugu ni mkristo. Hakukuwa na muislam hata mmoja kwenye timu yao....wameamua kutufedhehesha kwa kutumia dini yao. Kwenye hili linalogusa imani za dini, hatutaachana salama hata kidogo..

Kwa Mara ya kwanza leo naomba niseme wazi Mimi sio mdini lakini sipo tayari na siwezi kuvumilia ninapoona dini yangu inadharirishwa makusudi, muumini mwenzangu Wa kiislam anadharirishwa makusudi.

my take:
akili finyu hutesa mwili

...""---source Habib Mmchange


 
si mchezo sixgates kaandika,kafuta,kaandika tena,kafuta!kisa kaandika mambo mazuri kuhusu OPD
 
Mohamedi Mtoi mkuu kuna mtu nimewasiliana nae ananiambia Issa Jussa amewafunika sana, leo bukoba alibeba msahafu akazing'oa mbegu za udini zilizokuwa zimepandwa kwa wanabukoba kwa kutumia hadithi na aya.

Bukoba ki upinzani ilijengwa na kuharibiwa Cuf, Lwakatare alipohama Cuf hasira za wanachama wake zilikuwa juu sana kiasi cha kupoteza hekima na busara za kawaida, waliamua kwa makusudi kupandikiza siasa za udini kwa kiwango cha kuchefua, matokeo yake chama kikahamia kwa ccm na kikaanguka toka kura zaidi ya 16000 za ubunge 2005 kwenda kura 200, kisa? cuf wanamuokoa wa dini yetu!
 
Last edited by a moderator:
Mungu ibariki chadema na watu wenye imani nayo, kweli watanzania wamechoka sana ona walivyokaa chini .............

Chadema ndio mkombozi wa pekee aliyebeba ya kesho kwa watanzania.:a s 103:
 
bukoba sijuhi tuliibiwaje bwana, kwani mh. dhaifu alipata kura chache sana. kagasheki aliiba kura sn. Ila kwa sasa tumemchoka.
 
Ccm watuachie jimbo letu, 2015 mambo ya kuhongwa viela mbuzi na Kagasheki baadae anadhalilisha watu kwa kuwatupia shahada zao hadharani vijana wamechoka.
 
Hakika kwa hali hii lazima nchi iondoke.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Tatizo ni kwamba mmesahau kuwa hata 2005 na 2010 mikutano ya chadema ilikuwa inaongoza kuwa na watu wengi. Labda wanakuja kusikiliza mapya!!!? Kaaz kwel kwel
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…