M4C-OPD Ifakara; live coverage

M4C-OPD Ifakara; live coverage

....asema leo hii kinaibuka kikunfi cha watu wawili watatu ambao hawajafunguliwa kesi yoyote...hawajawahi kushambuliwa kwa namba yoyote, wamepokea pesa za Magamba....ati wanadai tuwaachie uongozi wa Chama.."------- kabisa", watu wanacheka na kushangilia...
 
....anawegeukia Polisi, anasema ingawa wako Polisi wanaokusudia kuitoa roho yake lkn ni raia wa kaeaida. Kinachowafanya wawe tofauti ni pale wanapovaaa crown wanakuwa na uwezo
 
Chadema yanipa raha kweli kweli,Aluta continue!!
 
Lkn Polisi ni ndugu zetu... Anasema Polusi ni watu muhimu na ifikapo 2015 wawe sehemu ya mabadiliko...
CCM ni laini kama maini, kinachowafanya CCM wasimame ni Jeshi la Polisi..,"polisi badilikeni...!"
 
Mtwara lini? maana kata ya Mkuti hapa Tandahimba imeanza kuangukia kwa Makamanda, wanachohitaji ni kuungwa mkono tu ili ichukuliwe baada ya CUF kufulia Tandahimba kiasi cha kumwekea pingamizi mgombea wa CDM eti kuwa si raia. hata hivyo msimamizi alilitupulia mbali pingamizi hilo.
 
Anawashukia Kikwete na Pinda...anamaliza lkn wananchi hawataki wanasema wzubgumzie kuhusu Zitto, anagoma, adadena hawezi kuzungumzia Msaliti.."mwache apambane na wananchi...".
Anazungumzia Rasimu ya pili ya Katiba..."karibu asilimia 80 ni maoni ya Chadema"....Anampongeza Warioba kwa kutokubali kutumvishwa na CCN
 
Mdee anasema nchi imeiva..iko tayari kwa mabadiliko....anamkaribisha Kamanda mkuu Mbowe, anasema yeye ndiye atafanyamabdiliko
watu wanamshangilia...
..Sasa Kamanda Mkuu Mbowe kasimama jukwqaani. ..Anasalimia...

mbowe na mdee wako pamoja huko...! duh..! kazi ipo
 
"Siwezi kuachia Uongozi katikati ya Mapambano"

"Nina kesi 13,nimekoswa kuuawa mara 2 leo anatokea mtu anahongwa hela na Magamba anataka uenyekiti"
 
Anasema kuhusu serikali tatu. Anaonya kuwa hayo sio maoni ya CCM wala chama chochote balu ya wanancgi.
 
....Mh Kiwanga anatonya kuwa utafiti umeonyesha sehemu kadhaa za Wilaya za Kilombero na Mahenge zina gesi na mafuta...wulaya ni tajiri, anatoa wito wananchi wawe makini, wasikubali Serikali ifanye kama ya Mtwara....

hiyo gesi ya ifakara apewe mengi....!
 
Anasema maoni ya wengi yazingatiwe, ikiwa watatumia [Ccm[ wingi wao kushinikiza serikal mbili,Cdm watakwenda kwa wananchi nchi nzima...anasema baada ya Bunge la Katiba kutakuwa na kura ya maoni na wayaomva wananchi waiunge mkono CDM
 
Anazungunzia uboreshaji wa daftari la wapiga kura..kwamba tangu 2010 daftari halijaboreshwa, "ilitakiwa liboreshwa mara mbili kabla ya uchaguzi ujao". Asema kna watu milulioni tano wenye wifa ya kupuga kura hawajaandikushwa.
CDM, anasema: "Chadema hatutashiriki kura ya maoni wala uchaguzi".
Anawaomba hadira wamruhusu amaluze...wanakubali...anawaomba wasimame na kukunja ngumi ili aage...wanakubali.
 
"Siwezi kuachia Uongozi katikati ya Mapambano"

"Nina kesi 13,nimekoswa kuuawa mara 2 leo anatokea mtu anahongwa hela na Magamba anataka uenyekiti"
Mtu ambaye hajafunguliwa hata kesi moja anautaka uenyekiti kupitia Facebook...huku kakunja nne LOL!!!
 
Anasema wengi wa waliopo ni wanaume, anawataka kina mama na kina dada wajitokee na wahamasishwe na waume.
Mwaka 2014 ni mwaka wa Chadema na wanawake....
 
Makamanda wanaaga...sasa wanaqga sasa kww salamu..."
Peoples...Poweerr. M4C-OPD; Pamoja Daima!!!"
Byeee!
 
aman itawale daima na mipango mibaya zid ya makamanda ishindwe.
CHADEMA for success
 
Maombolezo. 5: 1-5 inasema,“ Urithi wetu umegeuka kuwa mali ya wageni; Na nyumba zetu kuwa mali ya makafiri. Tumekuwa yatima waliofiwa na baba; Mama zetu wamekuwa kama wajane.Tumekunywa maji yetu kwa fedha; Kuni zetu twauziwa. Watufuatiao wa juu ya shingo zetu; Tumechoka tusipate raha yo yote”.
 
Big up kamanda kwa updates hizi! Mungu tu ndiye anayeweza kukulipa kwa ukarimu!

Tulianza na Mungu, tutamaliza na Mungu!
 
Back
Top Bottom