M4C-OPD Ifakara; live coverage

M4C-OPD Ifakara; live coverage

Wimana

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
2,449
Reaction score
718
Kamanda mkuu, Mh. Mbowe akiambatana na Mh. Halima Mdee na makamanda wengine wameshatua na kufika kiwanja cha Kiungani, Polisi mjini Ifakara.
Ufunguzi tayari kwa dua umeshafanyika na Makamanda mbalimbali wanazungumza...
 
Katibu W anazungumxa, anasrma vijiji 34 havina uongozi wa serikali kwa miaka 3 sasa, Mkurugenzi wa Halmashauri hajaitisha chaguzi....
 
Makamanda wa Ifakara nawaaminia sana! Tupeni updates muda ukifika.
 
Sasa Suzan Kiwanga, Mwenyekiti Mkoa anazungumza....
Wayu wanazidi kuongezeka uwanjani..
 
Ni asubuhi hii mkutano unafanyika? Wajumlishe huko huko na Kampeni za 2015 kwani gazeti la Mwananchi limeanza kutia sumu kama kawaida yao
 
....Mh Kiwanga anatonya kuwa utafiti umeonyesha sehemu kadhaa za Wilaya za Kilombero na Mahenge zina gesi na mafuta...wulaya ni tajiri, anatoa wito wananchi wawe makini, wasikubali Serikali ifanye kama ya Mtwara....
 
...Sasa anaongea Mh. Mdee..anakumbushia jinsi wana Ifakara walivyosimama kiume wakati wa Uvhaguzi mdogo ea Diwani Ifakara...CCM walijaza viongozi wazito hadi Taifani kuhakikisha CCM wanachukua kata, pamoha na mabomu na vitisho..."hamkukubali"....anawatia moyo 2015 wahakikishe Kaya zote, Vijiji vyote viende Chadema...
 
Weka picha tuone mkutano gani asubuhi.wakati tupo shambani
 
Mdeee anasema CCM ukiwakanyaga shingoni ni wepesi tu, Wananchi Ifakara...anamwaga pointi nyingi na kali, watu wanamshangilia kwa nguvu....
 
Mdee anasema Pinda Mzigo...amrgeuka kuwa dalali ya ardhi ya Tz, kila akienda nje ya nchi anasema Tz ardhi kubwa " njooni muwekeze kwenye kilimo....". Mdee anashanga kuwa ina kuwaje kila alienea nje abasrma Tz ina hekta 44 milioni kana kwamba watu hawaongezeki na hakyna watu wanaishi...watu wanamshangilia kwa nguvu Kamanfa Mdeee...
 
Mdee anasema nchi imeiva..iko tayari kwa mabadiliko....anamkaribisha Kamanda mkuu Mbowe, anasema yeye ndiye atafanyamabdiliko
watu wanamshangilia...
..Sasa Kamanda Mkuu Mbowe kasimama jukwqaani. ..Anasalimia...
 
Kamanda Mbowe anatoa orodha ya mikutano mitano leo baada ya mkutano huu ikiwa ni pamoja na Moro Mjini...
 
Mdee anasema nchi imeiva..iko tayari kwa mabadiliko....anamkaribisha Kamanda mkuu Mbowe, anasema yeye ndiye atafanyamabdiliko
watu wanamshangilia...
..Sasa Kamanda Mkuu Mbowe kasimama jukwqaani. ..Anasalimia...

Amefuatana na Mke mdogo Mh. Mukya? Maana Disco Joker ana mambo au anakula denge kwa Mbunge wa Kawe?
 
Mbowe anaeleza mkutano kuwa setikali ya CCM wamemfungulia kesi 13, sasa wamejitahidi kupanda mgogoro ndani ya CDM ati Mbowe anautaka Uenyekiti..anasema ndiyo! "siwezi kuachia uenyekiti katikati ya mapambano...."
 
Mtandao unakata kata...
Mbowe anaelezq jinsi ambavyo amekoswakoswa kuuwawa zaidi ya mara mbili, anaelezea jinsi alivyonusurika kuuwawa kwenye mkutano wq viwanja vya Soweto Arusha...
 
Chadema ni mpango wa Mungu.

Upo hapa nini?... Mbowe anasema Cdm ni mpango wa Mungu, sio Mbowe wala makamanda wengine...anatoboa siri kuwa Polisi walioshambulia mkutano na kumkosakosa na kuuwa watoto na kina mama walitoka Morogoro
 
Back
Top Bottom