M4C ndani ya Nanyumbu, hamasa ni kubwa

M4C ndani ya Nanyumbu, hamasa ni kubwa

KUB. Ugomvi wangu leo na mkapa, shemeji. amekimbia kwao nanyumbu kwenda kuishi lushoto, ameuza mashirika ya uma, amebinafsisha nchi.
 
Naliondoka hewani jf problem
 
KUB. Anaenda kumalizia, nitawapa sumary
 
Safi kamanda! tumekupata vilivyo, weka na picha ili kuhitimisha
 
pmja sna mkuu waunganishe mpk tunduru manake kule nako wamelala sana
 
kusini watakubali kujiunga na wababe wa kaskazini? Ikiwa ndio lazima basi kusini tutauza kwa ukoo wa mtei.
 
Back
Top Bottom