Mwenyekiti wa chadema tanga kapewa nafasi kusalimia, analaumu wanatanga kwa kuibeba ccm kwa muda mrefu, mwishowe amewapongeza kwa kubadili mwelekeo kwani wamefanya vizuri kwenye uchaguzi s/m.
M/kiti cdm tanga ameponda utaratibu wa power tiller, kwani haziwezi kukatua ardhi kisawasawa. elimu imedorora kwa makusudi ya ccm. afya ilikuwa matibabu kwa wananchi bure, kwa kutokuchaguliwa cdm mateso yamewaangua wananchi.
Dan mkapa alimuuliza dr. slaa mnapataje maji jimboni kwako. akapewa mbinu za kuandika miradi ya maji kwa wahisani, na hatokei, kwa hiyo ni uzembe wa makusudi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.