Kamata kitu cha M4C
Acheni kushabikia hata vitu ambavyo sivyo, sasa watawapa akina nani? Uharibifu tu wa ruzuku!

VILAZA mpo wengi......,anyway tupo hapa kuwafumbua macho ila mkijifanya kina matonya kwa kupaka utomvu basi hilo ni lenu.swali lako limekaa kishamkupe unadhani hazitakuwa na mmiliki kama KILAZA alivyo ikana ile mitambo pale ubungo?.hayo yanatokea kwenu vilaza na DHAIFU wenu hauku kila kitu kipo.au neno CHADEMA ukiliona unabubujikwa na machozi kwa woga ufisadi utamalizwa?.kilaza nae yu kama wewe hivyo hivyo.Pale unapojikuta usiyempenda unalazimika kumuita kwa mahaba.....Imagine Traffic ameikamata Pikipiki hii na anaifungulia file, ataandikaje kwenye:
- Name..............???
- Type...............???
- Model..............????
- Owner..............????
- Oil Capacity.......???
- Engine Name......???
VILAZA mpo wengi......,anyway tupo hapa kuwafumbua macho ila mkijifanya kina matonya kwa kupaka utomvu basi hilo ni lenu.swali lako limekaa kishamkupe unadhani hazitakuwa na mmiliki kama KILAZA alivyo ikana ile mitambo pale ubungo?.hayo yanatokea kwenu vilaza na DHAIFU wenu hauku kila kitu kipo.au neno CHADEMA ukiliona unabubujikwa na machozi kwa woga ufisadi utamalizwa?.kilaza nae yu kama wewe hivyo hivyo.
:majani7::majani7::majani7:CCM puresha inapanda inashuka!!:majani7::majani7::majani7:
Nimefurahi sana kuona hii, sasa mapambano ndio yanaanza kwa awamu nyingine.
Nawaonea huruma magamba kwa jinsi tutakavyo washughulikia huko site, hakuna rangi wataacha kuiona.
Haishuki wala kupanda inaelekea upande mmoja tu. kama ni kushuka inazidi kushuka
Acheni kushabikia hata vitu ambavyo sivyo, sasa watawapa akina nani? Uharibifu tu wa ruzuku!
MHHHH pikipiki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Poleni wazalendo wenzangu mtakao ingia kichwa kichwa kuzitumia..,mvua, jua na umafia mtafanyiwa ninyi. WAO narudia tena WAO
Wana shangingi na viyoyozi huku wakibaki kulindana kwa maovu yao...na sisi wa chini ambao ni wazalendo wa kweli tukionesha maovu yetu kdg tu tunafutwa uwanachama.
Akili ni yako kukubali kuwa mgongo wa maisha ya wengine au kwenda kwa step na wewe na Pikipiki hizo.
duh mtima wa nyongo tema basi ili uponeMHHHH pikipiki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!