Ukweli husemwa:
Watanzania kwa uchakachuaji. Jamani, Hata mualiko wa wananchi nao unachakachua.
Kwa nini usiseme tu ni mkutano.
Hata form za uongozi hazijatolewa achilia mbali kuwa na office. Kiongozi atafunguaje tawi kwenye Pub. CHADEMA is smart than this nonsense.
Tunaomba msije mkamuingiza mkenge kiongozi ili baadaye aje onekana kama hana Hekima.
Kuna jamii alikuwa na thread humu leo na alikuwa anasema mkutano unaendelea na kulikuwa na watu zaidi ya sabini wakati ni uongo wa hali ya juu kwa wapenda demokrasia nchini. Why lie?.
Maana ya Pub ni bwalo, bar
Mimi ningeshauri wanalondon mpange kufuturu na Lema hiyo kesho alafu watakaojitokeza mjiandikishe mpange tarehe yenu ya kuchaguana na mambo ya ofisi yaendelee, vitu vingine sidhani kama vinataka haraka kihivyo. Nawatakia kila jema
Huko london watu wanafungua saa tatu kasoro na wanaanza kufunga saa kumi usiku. Halafu hiyo sehemu ni open bar navyojua mimi unless kama kuna conference room somewhere na sijui kama wateja wengine wamezuiwa kuingia on that day maana waafrika wakitoka kwenye majukumu yao hapo ndio pa ku-chill.Acha chuki binafsi Zinjatropus. Futari huliwa saa mbili usiku au kabla ya hapo?
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA KINAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAISHIO LONDON NA SEHEMU ZA JIRANI KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO WA UFUNGUZI WA TAWI LA CHADEMA LONDON. TAWI AMBALO LITAFUNGULIWA NA MHESHIMIWA GODBLESS LEMA
UFUNGUZI HUO UTAFANYIKA THATCHED HOUSE PUB ILIYOPO BARKING SIKU YA JUMANNE 07/08/2012 AT 20:00 SAA MBILI USIKU.
KATIKA MKUTANO HUO PIA WATACHAGULIWA VIONGOZI MBALI MBALI WA CHADEMA TAWI LA LONDON .
TUNAWAOMBA WANA CHADEMA WOTE WAJITOKEZE KWA WINGI KUJA KUHUDHURIA TUKIO HILI LA KIHISTORIA.
Venue ; Thatched House Pub
RIPPLE ROAD, BARKING, ESSEX, IG11 9PG
Maana ya Pub ni bwalo, bar