M4C London - Mkutano mkubwa wa CHADEMA London

Ukweli husemwa:




Watanzania kwa uchakachuaji. Jamani, Hata mualiko wa wananchi nao unachakachua.

Kwa nini usiseme tu ni mkutano.

Hata form za uongozi hazijatolewa achilia mbali kuwa na office. Kiongozi atafunguaje tawi kwenye Pub. CHADEMA is smart than this nonsense.

Tunaomba msije mkamuingiza mkenge kiongozi ili baadaye aje onekana kama hana Hekima.

Kuna jamii alikuwa na thread humu leo na alikuwa anasema mkutano unaendelea na kulikuwa na watu zaidi ya sabini wakati ni uongo wa hali ya juu kwa wapenda demokrasia nchini. Why lie?.

Ninakubaliana na wewe, je ofisi ya Tawi itakuwa hapo Pub? au tena ni mambo na matawi ya vijiwe vya chama xxxxx ....."kijiwe cha wafurukutwa wa CCM tawi la makaburini" yaani ni mti na bendera tu! and hakuna kitu.

Je ofisi yenyewe itakuwa mtaa gani?I mean ofisi ya tawi nayo itakuwa mtaa wa Pub? Na je hii venue ya kikao ni Pub kama tunavyoelewa sisi huku - Bar/ grocery? Kama ni baa halafu ni saa mbili usiku tunaweza kuondolewa wasiwasi kuwa uchaguzi utakuwa fair, mie naona kama kama watu wanaweza kuwa top halafu kura zikaharibika zote
 
Mimi ningeshauri wanalondon mpange kufuturu na Lema hiyo kesho alafu watakaojitokeza mjiandikishe mpange tarehe yenu ya kuchaguana na mambo ya ofisi yaendelee, vitu vingine sidhani kama vinataka haraka kihivyo. Nawatakia kila jema

Asante kwa ushauri
 
Acha chuki binafsi Zinjatropus. Futari huliwa saa mbili usiku au kabla ya hapo?
Huko london watu wanafungua saa tatu kasoro na wanaanza kufunga saa kumi usiku. Halafu hiyo sehemu ni open bar navyojua mimi unless kama kuna conference room somewhere na sijui kama wateja wengine wamezuiwa kuingia on that day maana waafrika wakitoka kwenye majukumu yao hapo ndio pa ku-chill.
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA KINAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAISHIO LONDON NA SEHEMU ZA JIRANI KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO WA UFUNGUZI WA TAWI LA CHADEMA LONDON. TAWI AMBALO LITAFUNGULIWA NA MHESHIMIWA GODBLESS LEMA

UFUNGUZI HUO UTAFANYIKA THATCHED HOUSE PUB ILIYOPO BARKING SIKU YA JUMANNE 07/08/2012 AT 20:00 SAA MBILI USIKU.

KATIKA MKUTANO HUO PIA WATACHAGULIWA VIONGOZI MBALI MBALI WA CHADEMA TAWI LA LONDON .

TUNAWAOMBA WANA CHADEMA WOTE WAJITOKEZE KWA WINGI KUJA KUHUDHURIA TUKIO HILI LA KIHISTORIA.

Venue ; Thatched House Pub

RIPPLE ROAD, BARKING, ESSEX, IG11 9PG

Mkuu ebu tujuze jina la tawi tafadhali au ndio Tawi la Thatched House Pub?
 
Back
Top Bottom